Nini kinachowasukuma baadhi ya kinadada/kinamama kukubali kuwa 'nyumba ndogo'?

Nyumba kubwa kuna wanaofikia hatua ya kutolewa mahari,sas hapo sijui bado utamuita mwizi au mke mwenzio?
 
Nyumba kubwa kuna wanaofikia hatua ya kutolewa mahari,sas hapo sijui bado utamuita mwizi au mke mwenzio?

Ni mwizi aliyehalalisha wizi wake. Pengine yeye atakuwa na nafuu zaidi, lakini kuna wadada Daughter, na heshima zao, hawana shida ya maisha kiviiile, lakini kwa siri wanatoka na wanaume za watu!
 
nani anafaidi nyumba kubwa au ndogo? watu wanapenda kilicho bora....
 
Anayesemwa in public na anayesemwa in private (kwa nyumba ndogo) nani anayedhalilika (na kudanganywa?)

Afu watu wengine naona mmekimbilia kusema ooh uta fight na wangapi; Hivi is it worth kuishi na mume chupi mkononi??? Is it worth kuishi na mume mwenye mahawara kumi? Am talking of a decent man siongelei mwanaume aloshindikana; kwani with my self esteem siwezi ishi na mume chupi mkononi.
 
Afu nawatamani saana hao nyumba ndogo wababe wakutane na nyumba kubwa mie ndiyo watajua kama MWIZI ana power or not.
 
Anayesemwa in public na anayesemwa in private (kwa nyumba ndogo) nani anayedhalilika (na kudanganywa?)

Iweje mtu mzima na heshima zako ukaongee maneno ya kipuuzi na kujitapa mbele za watu eti 'unachezea tu'! Khaaa! Unajidhalilisha wewe mwenyewe hata mke uliyeko nyumbani siku umeenda ofisini eti unaita 'mume wangu', hata ujifanye kumpiga mabusu hadharani hahahahaaaa........... mbona utaonewa huruma!!
 
Afu nawatamani saana hao nyumba ndogo wababe wakutane na nyumba kubwa mie ndiyo watajua kama MWIZI ana power or not.

Utawafanya nini? Labda umuue huyo unayemwita mwizi wako! Mi mwenyewe huwa nawatamani sana hao nyumba kubwa wanaojifanya wao wanapower ya kunyasanyasa na kudhalilisha wadada wa watu ndo tulicheze vizuri hilo sebene!
 
Nakutakia mafanikio kwenye hiyo safari

Utawafanya nini? Labda umuue huyo unayemwita mwizi wako! Mi mwenyewe huwa nawatamani sana hao nyumba kubwa wanaojifanya wao wanapower ya kunyasanyasa na kudhalilisha wadada wa watu ndo tulicheze vizuri hilo sebene!
 
Mtu kama kipipi anapotoa comment halengi mtu bali anaongelea in public, so wewe unaweza usiishi na mume chupi mkononi lakini kuna wanawake wanaishi na waume wa dizaini hii! Sasa kwa watu wa type hiyo, ndo hayo maswali yanapokuja!
 
I wish ungekuwa nyumba kubwa yangu,stress free wife...
 
sasa kama nime kumind nikisema ukweli unasepa,inabidi nikudanganye ili nipate ninachohitaji bibie,'end justfies the means'
 
siyo njaa 2 hata kuwashwa kwao kunachangia!! cjui ni vyakula au ni nini?!! wanawake w cku hizi wanawashwa kishenzi ......

mmmh kuwashwa nini tena? Nywele kichwani au wana chawa? Mbona vitendea pekee vipo vingi tu kama ni huko kunako?
 
Ukitoka hapo kwa kumkimbia huyo chupi mkononi unaelekea kuwa 'nyumba ndogo' kwa chupi mkononi wa mwenzako maana chupi mkononi ni wengi kuliko chupi kabatini,mlio nyumba kubwa mshukuruni Mungu,wengi wenu mmekuwa nyumba kubwa by chance not by love.
 
Hao wanaoishi na wanaume chupi mkononi hata niki comment the whole page sitaweza kuwasaidia; kwani ndivyo walivyo na ndiyo maana nikwahita low self esteem. Naongelea mwanamke anayejua position yake kama MKE.

Mtu kama kipipi anapotoa comment halengi mtu bali anaongelea in public, so wewe unaweza usiishi na mume chupi mkononi lakini kuna wanawake wanaishi na waume wa dizaini hii! Sasa kwa watu wa type hiyo, ndo hayo maswali yanapokuja!
 
Kwa research gani ulofanya ku conclude kuwa watu wamekuwa WIFE by chance. Give me a break!

Nyie ndio mnaoendeleza discourses zile zinazo justify vimada. Ooh mume wake wala hakumpenda wazazi walimlazimisha. Ooh Alijishikisha mimba ndio kaolewa. Oooh wanalala tu kama kaka na dada.

Kama alijishikisha mimba na unaona ndiyo njia ya ku force ndoa na wewe umekatazwa; ni tasa? Kama wanalala kama kaka na dada kwa nini asiamie kwako wewe kimada anakolala kama mke na mume.

Ukitoka hapo kwa kumkimbia huyo chupi mkononi unaelekea kuwa 'nyumba ndogo' kwa chupi mkononi wa mwenzako maana chupi mkononi ni wengi kuliko chupi kabatini,mlio nyumba kubwa mshukuruni Mungu,wengi wenu mmekuwa nyumba kubwa by chance not by love.
 
Hao wanaoishi na wanaume chupi mkononi hata niki comment the whole page sitaweza kuwasaidia; kwani ndivyo walivyo na ndiyo maana nikwahita low self esteem. Naongelea mwanamke anayejua position yake kama MKE.

Unaongea kwa kujiamini,yaelekea mumeo ni mtaalam wa kukufool kiasi kwamba unaamini yeye ni clean,hata mimi mke wangu hawezi amini kuwa nina nyumba ndogo,lakini...
 
Nyumba kubwa sali sana sidhani kama kuna mwanamke yeyote anayependa kushi na mwanaume chupi mkononi na bahati mbaya wengine hata wake zao hawajui wanayofanya waume zao lakini hakuna sketi inayokatiza ikaachwa,wengine walikuwa waume wazuri tu katikati ya njia mambo yakabadilika .

kwangu mie sitaki kujua anachofanya lakini nachomuombea ni kuwa muaminifu iwe namuona au simuoni sidhani kama kuna raha kwa kusema eti unakuwa unaishi kwa amani kisa hujui anachofanya what if hujui lakini uchafu wake umepitiliza wale waume wa marafiki zako unaowajua si utapigana na mji mzima.

Sanahani wanajamvi naomba kujuzwa haya yafuatayo.
1.Nani anayetoa maamuzi kuwa hii ni nyumba kubwa na hii ni nyumba ndogo
2.Utaitambuaje nyumba kubwa na nyumba ndogo,kwa mtu usiyehusika na mmoja kati ya wahusika wa hizo nyumba.

Nimeuliza hivi kwa kuwa kuna wanaume wamejenga nyumba ambazo wanaishi na hawa waitwao nyumba ndogo na nyumba kubwa,huku utamwona na kule pia,utatambuaje kuwa nyumba kubwa ni ipi na nani mwenye mamlaka ya kugawa ukubwa wa nyumba ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…