daughter
JF-Expert Member
- Jun 22, 2009
- 1,275
- 748
Hilo swali kwenye bold ni zuri sana. Wenyewe watakujibu eti siyo wezi. Eti mtu mzima haibiwi! Inahu! Siyo mwizi ulipelekwa kwenye altare??? Siyo mwizi huyo mwanaume amekutolea mahari? Siyo mwizi, mbona unakumbatia mto na mnakaa kuangalia saa jamaa asijechelewa kwa THE WIFE?
Nyumba kubwa kuna wanaofikia hatua ya kutolewa mahari,sas hapo sijui bado utamuita mwizi au mke mwenzio?