Nini kinachowasukuma baadhi ya kinadada/kinamama kukubali kuwa 'nyumba ndogo'?

Suit youself

 
siyo njaa 2 hata kuwashwa kwao kunachangia!! cjui ni vyakula au ni nini?!! wanawake w cku hizi wanawashwa kishenzi ......

haaahaaahaaahaaaa...eti wanawashwa!! so wakunaji siye wanaume.....duh kazi tunayo kizazi hiki. natamani umri wangu urudi nyuma kama 10 years nirudishe makucha yangu
 
Wanaume wachache ndio maana tunakubali kuwa nyumba ndogo mkuu, pia nyumba ndogo inafaidi sana kupita nyumba kubwa,
kila mwanamke akiolewa dream yake ni kuwa na mume mwaminifu atakayempenda milele, lakini ikiwa tofauti huna jinsi ni kukubali
matokeo tu, mie binafsi sitapenda mume akinioa atoke na mie kadhalika, lakini unambanaje sasa, nimeshuhudia wanawake wanaojiamini wengi kwamba wanaweza kuwabana waume zao wasitoke, lakini hao wanaume ndio wanakuwa wanacheat kupita maelezo,msijiamini sana
kupitiliza mlioolewa, weka asilimia kidogo ya mashaka ili likikukuta usishangae sana

kuna nyumba ndogo huwa hazina mzaha, zikiiba zimeiba, unakuja fumania unapigwa wewe na mumeo, tena bila huruma,bora utulie kwako
msubirie mumeo huko nyumbani mpigane msutane coz yeye ndiye mliingia mkataba nae
 
Kwa michango mingi ambayo ni ya wanawake, inaonyesha kuwa hili swala la nyumba ndogo halitakwisha kwani limetetewa sana, naona wengi wanataka kutambulika na kutokuwa harassed na nyumba kubwa.
 
dah nimepnda sana mawazo yako kaka
hnk i can add up somethng
the thing is bado wanawae wengi wana maisha ya kuigiza
"nataka kuishi kama flan",ofcoz kila mtu anatamani kuishi maisha mazuri bt utofauti ni kwamba watu wengi wanaexpect too much in too soon
umasikini wa fikra na kutojiamini inasumbua sana,mwanamke mzuri na ana elimu nzui lakn haamini kwamba ipo siku atafanikiwa ila kikubwa ni mipano na kjiamini,anaamini nn?anaamini ni lazima atmbee na boss au someone ith big status in order to have hose connections
guys mwamini uliyenae and dont expect too much in too soon
 
Huku si kwangu! Nimepita tu. Lakini kuna mambo matamu sana. Hongereni Wanajukwaa hili.
 
Btw, hivi mke wa mtu anaweza kuwa nyumba ndogo ya mwanaume mwingine? Kuna 'bosi' mmoja mahala fulani kwa muda mrefu alikuwa 'anajisevia' katibu muktasi wake (mke wa mtu).
 
Sasa hii ni topic mpya, tena topic mbili ndani ya moja... hapa kuna maswali mawili, hivi mwanamke aliyeolewa anaweza kuwa nyumba ndogo kwa mtu mwingine (simply 'no' kwa opinion yangu), lakini pia, mwanaume aliyeoa anaweza kuwa 'nyumba ndogo' kwa mwanamume fulani?
 
Reactions: SMU

Ndiyo manza kama mwanaume akiamua kutoka nje ya ndoa wakati alikubaliana na mke wake kwamba hatafanya hivi walipofungua ndoa. Sio suala la mwanaume kuwa na wake zaidi ya moja ni hasi au la, bali tatizo ni kutokumheshimu mke wake kwa kuvunja ahadi uliyompa.


Ni kweli kabisa kwamba wanawake wapo wengi sana kuliko wanaume duniani, lakini uwe makini na statistics hizo. Kinachopaswa kuzingatiwa ni kwamba wanawake huishi kwa muda mrefu zaidi pia, na hiyo ndiyo mojawapo wa factors zinazofanya idadi ya wanawake iwe kubwa kushinda ya wanaume. Kama ukipata statistics zinazoonyesha idadi ya wanawake na wanaume duniani zikitenganishwa kwa age group, nadhani ni pale tu utaweza kufanya conclusion yenye msingi halali. Lakini kwa sasa, wakati hatuna statistics hizo, sifikiri tunaweza kusema ni lazima polygamous marriages zihalalishwe wanawake wasikutane na hali ya kutoweza kupata mchumba kwa sababu wanaume wote wameshaoa tayari.
 
Ninaposoma maoni ya watu humu najikuta nikikumbuka wimbo wa Marijani Rajabu wa Mwanameka.

Kwa wenye muda wafungue hapa,
Kuna mengi ya kujifunza, na naona yeye Marijani anamlaumu zaidi Mwanameka, sio Mussa...
 
Thanks for the song. Naona Marijani angekuwa hai angeniunga mkono. Nyumba ndogo jamii imekuwa inaziona ni immoral ndiyo maana huyu gwiji akatunga na wimbo. Kizazi hiki kinataka kuhalalisha kila kitu incuding u gay na u lesbian.


Ninaposoma maoni ya watu humu najikuta nikikumbuka wimbo wa Marijani Rajabu wa Mwanameka.

Kwa wenye muda wafungue hapa,
Kuna mengi ya kujifunza, na naona yeye Marijani anamlaumu zaidi Mwanameka, sio Mussa...
 
Sababu ziko nyingi, lakini ningependa niizungumzie mojawapo:

Wanaume wanandoa twachangia wake zetu kwenda nje:
Ifahamike kwamba si wanawake wasio na waume tu ndo wanakuwa nyumba ndogo bali pia wengi wa walioolewa wanakuwa nyumba ndogo pia na hasa siku hizi kutokana na mienendo ya sisi waume zao kuwa na multiple relationships. Nimeshashuhudia, nimeona na ninawafahamu wanawake kadhaa walio decent, higly educated and economically self-sustained walioolewa wanakwenda nje ya ndoa kutoka na waume zao kuvunja uaminifu wa ndoa zao. Emotionally, wanawake wanachukua maamuzi haya either kulipiza kisasa au kujifariji na kuokoa ndoa zao. Believe me or not ndoa nyingi zinadumu siku hizi kwakuwa wanawake wameamua kuwa na mahusiano ya nje ya ndoa kama waume zao ili waweze kujifariji na kusahau machungu yanayosababishwa na waume zao. Tahadhali kwa wanaume wenye ndoa, ukiona mkeo hususan msomi au aliye sawa kiuchumi ambaye anaweza kuishi na kujitegemea bila kuwepo kwako ambaye anafahamu kuwa una mahusiano na wanawake wengine lakini hakupigii kelele hata siku moja au amekupigia kelele kwa muda mrefu kisha akaamua kudharau na kutokukughasi basi kumbuka kuwa kuna wanaume wenzako wanamfariji na kumpa good time na hiyo ndiyo inayookoa ndoa yako.
Wanaume tubadilike tuwe na maadili na ndoa zetu na tuwe na mapenzi ya kweli kwa wake zetu si kwakuwapa mahitaji muhimu tu kama malazi, chakula, usafiri, matibabu na mengineyo hapana, tuwape mapenzi kwani hawakufuata hivyo majumbani mwetu. Wewe pombe tu, ukitoka kazini bar na kurudi nyumbani usiku wa manane 24/7 na hata chakula kilichoandaliwa kwa mahaba na mkeo washindwa kula, kweli wategemea kuwe na ndoa. TUBADILIKE WANAUME WANANDOA ILI TUWAOKOE WAKE ZETU NA DHAMBI YA UZINZI TUNAYOWALIMISHA KUITENDA pasi na ridhaa zao ingawa hawapaswi kufanya hiyo ni sababu lakini wao ni binadamu pia sio malaika.

UKIZINI NA WEWE UTAZINIWA SI MKEO TU BALI HATA MABINTI WAKO WATAZINIWA HOVYOHOVYO TU.

USHAURI KWA KINA DADA: Nilipokuwa mtoto mdogo wa shule ya msingi niliwahi kumsikia mama yangu akiwaasi dada zangu kuwa wasiige yanayofanywa na waume zao kwakuwa hawawezi kushindana na wanaume na hii ilisaidi sana wao kina mama kudumisha ndoa zao. Ingawa ni ngumu lakini mjitahidi kulinda ndoa zenu na inapotokea mumeo anafanya hivyo jitahidi kufanya ibada ili arudi kwenye mstali. Wanaume msipate vichwa, ONYO KWENU.
 
Wasichana wanajikuta na mahusiano na waume za watu kwa sababu nyingi, wengine wamedanganywa wanakuja gundua muda ushapita, pengine madhara yashajitokeza, hapo wa kulaumiwa ni nani, hali ya kiuchumi pia inasababisha, sababu waume za watu ni watunzaji wazuri sana since wanajua majukumu ya mwanaume kwa mwanamke unlike single guys,pia sababu nyingine ni mapenzi tu, sababu unapompenda mtu haijalishi kama anamwenza au vipi, ni jukumu lake mwenye mahusiano kuamua kusuka ama kunyoa

juzjuz tu hapa nimenusurika kuwa mke wa mume wa mtu, na alikuwa radhi kabisa anioe mke wa pili, hii nayo imekaaje, ningesema yes sasa hivi ningekuwa nasambaza kadi
 

hapa nijizungumzie mie kama nyamayao....cwezi kujiamini/kumchunga/kumbana au kumzuia asi cheat, huwezi kumchunga mtu mzima hata cku 1, mie ninahitaji heshima yangu fullstop! sio ile mtu afanye mambo yake mpaka ajisahau yanihusu, kama ku cheat alisha cheat na cna hakika kwamba sasa kaacha/hafanyi, but heshima iliyopo inanipa matumaini ya kuendelea kuitengeneza familia.....nahitaji heshima yangu kama mama wa watoto wake/mke wake....mengineyo ni kutafuta wrinkles 2......
 

hapo inategemea kama dini yenu inawaruhusu! nijuavyo kama dini inawaruhusu na kwa ridhaa ya mke mkubwa unaweza kuwa mke halali wa pili, kwa wengine tutabakia kuwaita vimada/hawara......my dia hiyo red umesema kama unampenda mtu haijalishi kama ana mwenza au vipi.....kweli? yaani ili mradi na wewe ujichomeke tu hata akiamua kuku2mia na kukutekeza ni poa tu ili mradi ulimpenda na yeye kakutumia karudi kwa mwenza wake?...
 
Mume hamuoni miezi 3 kinachofuata nini ? lazima hapo uwa nyumba ndogo
 
Jamani Shati mwenzie kifungo sa mwashangaa nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…