nyumba kubwa
JF-Expert Member
- Oct 8, 2010
- 10,309
- 8,379
Suit youself
Wewe bwana kuna mipingo huku duniani mbona wewe cha mtoto,hadi ninafikia kuwa nyumba ndogo ujue nimeji koki vya kutosha, anayeruka ameagana na nyonga, kama ukali simba ni mkali lakini anazalishwa. so ujue na ukali wako kama wanawake wa shoka wameamua kuingilia anga zako watakuweza tu. By the way kama hupendi mumeo atembee na wanawake na pia uanataka awe wa kwako peke yako unamuweka tu kwenye pochi yako uwe unatembea nae kila uendako....