FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Je, Airtel mmefikia wapi kutatua hilo tatizo la voice call na sms kugoma kwa asilimia kubwa? Yaani tunaishi kwa network ya kubahatisha, why?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii kama watajipanga vizuri, mazingira yao kiushindani yatakuwa mazuri sana. Maana mnununzi wa minara mojawapo ya target zake ni kupanua network ili iwafikie wengi na iwe bora na kupendwa na wengi.Hukusikia juzi wameuza minara? Matokeo ndo hayo
Duuu, pole sanaTatizo ni kubwa kwa mwezi sasa,nimenunua simu nyingine nikiamini kuwa simu ni mbovu,lakini Hadi hii mpya line ya Airtel inasoma kwa machare but Airtel ndo mtandao wangu pendwa
Daah, wacha iendelee tu, maana hakuna namnaEndelea kuisoma namba na kuishi kama shetani na KAZI iendelee