Braza Kede
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 3,840
- 6,844
Majuzi kati kulikuwa na habari za kurudishwa kwa majeruhi walio DRC kwa ajili ya misheni ya SAMIDRC. Baada ya hapo ikawa kimya kimetamalaki.
Zaidi tukasikia M23 wameiteka Goma na baada ya apo wameingia kuiteka Bukavu. Kabla hatujakaa sawa tunaona M23 wakijitapa wanataka wafike Kinshasa.
Sasa ina maana hizi misheni za UN na SAMIDRC ziko wapi?