Strong Durable
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 474
- 700
Sindikiza na Aya ya kwenye Qoran basi maana Quran ni Maneno ya Allah - au ni TaqiyyaNyie nyamazeni hi ni mipango ya Allah alisha ahidi wa Israel watafanya hayo alafu atawaangamiza time inakaribia.
Nabii wenu Issa nae aliandikiwa kufa? Nabii Idris nae alikufa? All Muslims are so Hippocrates.... Someni kwanza Elimu ya Dini na sio kudanganya Umma punda wewe..Kufa kila mtu atakufa tu akifa kwa kuliwa au kufa kwa maradhi au kwa kawaida tu kila mmoja ameandikiwa atakufa vipi.
According to kiongozi wenu Zakir Naik kuwa any Muslim ambeye hamuamini Yesu huyo sio Muslim.Mimi nawaonea huruma walio baki wameshikilia misalaba, wakiamini wanaenda peponi sababu Yesu kachukua dhambia zao π
Dogo nilikwambia jana uwe unajitaidi kuficha ujinga ulio nao kichwani mbele za watu kwa kusoma chapisho lako kabla ya kuweka publicTatizo lenu nyie wavaa misalaba mmelaniwa hamjifahamu, bibilia zinasema ukitundikwa msalabani unakuwa umelaniwa na nyie mnautukuza msalaba.
Ikiwa bibilia hamzifahamu mtafahamu mtu anaye dai haki yake? We aje jambazi akutokea nyumbani kwako achukue ardhi yako utamuwacha?
Tatizo hamfahamu Bani Israel ni watoto wa Yakobo, hao wa Palestine ni katika wajukuu wa kizao cha Yakobo.
Huyu Netanyahu hana damu ya Bani Israel ametokea Ukraine, we huoni ma Jews wale orignal wanapinga siasa ya hao mazionist.
Wayahudi na warabu wanaishi miaka hawana ugomvi na warabu, wapo nchi nyingi za kiarabu wapo Yemen, wapo Iraq, wapo Iran pia sa we tatizo lako msalaba umekuvuruga akili.
Ndio manake πWanakutana jalala moja etiπ€£π€£
dogo mimi sinilisha kujibu jana mjinga anamjua mjinga mwenzake, ndio mana mlevi akisha lewa anadhani wenzake wote walevi kama yeye πDogo nilikwambia jana uwe unajitaidi kuficha ujinga ulio nao kichwani mbele za watu kwa kusoma chapisho lako kabla ya kuweka public
Kuna muda kama unaona upo too emotional postpone kuposti chapisho lolote jenga hoja
achana na myth za kidini hii Sio vita ya dini ni vita ya kujikomboa kutoka kwenye ukoloni wa Israel ni vita ya kupigania kusimamisha taifa huru la Palestine as a sovereignty state
upo sawa.dogo mimi sinilisha kujibu jana mjinga anamjua mjinga mwenzake, ndio mana mlevi akisha lewa anadhani wenzake wote walevi kama yeye π
Mimi nikiongelea msalaba na kusudia wakristo. sababu mnaishangilia Israel eti taifa lenu.
Kuna ujinga zaidi ya huo ujinga, si bora mimi ujinga wangu una unafuu, kuliko ujinga wako na wenzako wakristoπ
Niliwaombeni wapi kuna andiko lipo kwenye vitabu vyenu vinasema Israel ni taifa la Mungu, hamna afu mnajidai eti mmesoma, mngekuwa wasomi mngekubali ujinga huo π
Tazameni kipigo cha leo hukoTela Aviv, afu nyie msikilizeni kichaa wenu Netanyahu anawambia kaimaliza Hamasi
View: https://youtu.be/i5ad89fCcSo?si=lbC_WoslWzcGtw9X
Mimi siku zote niko sawa unless nikutane na mjinga kuliko mimi ndio ataniona mjinga πupo sawa.
Ni kweliMimi siku zote niko sawa unless nikutane na mjinga kuliko mimi ndio ataniona mjinga π
Mkuu; Haiko hivo mkuu. Katika hali ya kawaida, binadamu yeyote huwa na mang'amuzi au mitizamo yake katika matukio mbalimbali..Hivyo hivyo sudan congo na afrika ya kati . Huwa nashangaa kuona watu wakifurahi vita na kutengeneza upande kama timu za soka
Hili igizo limekosa ubora wa muonekano wa picha lakini kikubwa zaidi pia halina uhalisia na waigizaji wake hawana weledi katika maigizo. Therefore - Tupa kule.Israel karudi anaomba peace chezea kipigo anacho pokea kwa Hamasi.
Israel hakuna alicho kifanya kwa Hamasi, yeye anakimbilia kufanya genocide, we kwa kuwa kichaa unadhani kuvunja majumba, kuvunja hospital, mashule na kuzuia chakula kisingie Gaza ndio vita π
Vita sikwenda uwa vitoto visio na hatia au wabawake na vizee wasio na hatia.
Kuivunja karibu Gaxa yote silaha ziko wapi alizo piga, so alisma ziko kwenye majumba, hakuweza onyesha hata risasi zaidi ya kutuonyesha bollywood movie pale Al shifa hospital π
Wanaume Hamasi wanaonyesha video namna wanavyo zisambaratisha silaha za Israel na jeshi Lake.
Matekwa wengine hao leo jitazamie dogo ona mashoga wenzako wanavo tekwa.
View: https://youtu.be/eGiea6RPeg8?si=MVfOihCfDbUJOPWw
Msaraba ndio kinga yao!Nyie nyamazeni hi ni mipango ya Allah alisha ahidi wa Israel watafanya hayo alafu atawaangamiza time inakaribia.
Kufa kila mtu atakufa tu akifa kwa kuliwa au kufa kwa maradhi au kwa kawaida tu kila mmoja ameandikiwa atakufa vipi.
Mimi nawaonea huruma walio baki wameshikilia misalaba, wakiamini wanaenda peponi sababu Yesu kachukua dhambia zao [emoji1]
Wao kwenye bibilia wanasema mtu akitundukwa msalabani ujuwe kalaniwa, na Yesu wanadai alitundikwa kwenye msalaba ili abebe dhambi zao.Msaraba ndio kinga yao!
Mbona utu hakuna wala hofu mauaji yameendelea sana.
Mambo ni mengi sana watu wamekosa hofu ya Mungu ingekuwa dini zingefuatwa basi vita ingesimama.
Shetani amejinyanyua sana tumechoka kusikia kila siku watu wanakufa.
Vita isimamishwe basi watu kweli wanaangalia hiki kinachofanyika.
Usawa uko wapi nini maana y
Mbona utu hakuna wala hofu mauaji yameendelea sana.
Mambo ni mengi sana watu wamekosa hofu ya Mungu ingekuwa dini zingefuatwa basi vita ingesimama.
Shetani amejinyanyua sana tumechoka kusikia kila siku watu wanakufa.
Vita isimamishwe basi watu kweli wanaangalia hiki kinachofanyika.
Usawa uko wapi nini maana ya uhai au utu?