Nini kinaendelea Gaza

Nini kinaendelea Gaza

Israel karudi anaomba peace chezea kipigo anacho pokea kwa Hamasi.

Israel hakuna alicho kifanya kwa Hamasi, yeye anakimbilia kufanya genocide, we kwa kuwa kichaa unadhani kuvunja majumba, kuvunja hospital, mashule na kuzuia chakula kisingie Gaza ndio vita 😄

Vita sikwenda uwa vitoto visio na hatia au wabawake na vizee wasio na hatia.

Kuivunja karibu Gaxa yote silaha ziko wapi alizo piga, so alisma ziko kwenye majumba, hakuweza onyesha hata risasi zaidi ya kutuonyesha bollywood movie pale Al shifa hospital 😄

Wanaume Hamasi wanaonyesha video namna wanavyo zisambaratisha silaha za Israel na jeshi Lake.

Matekwa wengine hao leo jitazamie dogo ona mashoga wenzako wanavo tekwa.

View: https://youtu.be/eGiea6RPeg8?si=MVfOihCfDbUJOPWw

Uongo hausaidii.
 
We kalia uongo Israel hana jipya dogo atasimamisha vita tu atake asitake, Netanyahu ndio bye bye tena.
Jiliwaze hivyohivyo na uweke mkono shavuni kama umepaki bodaboda.Wenzako wanapata cha mtemakuni wewe unaleta futuhi?😂😂😂
 
Hivyo hivyo sudan congo na afrika ya kati . Huwa nashangaa kuona watu wakifurahi vita na kutengeneza upande kama timu za soka
... waliotuletea 'video games' za vita WAMEFANIKIWA SANA!
... 'video-gamer generation' watu wake wakiambiwa waue watu hujiona kama wako kwa game wanaua MAZOMBI!
🤮🤮🤮☠️
 
We did not achieve any of the strategic goals of the war, as we did not achieve the return of the kidnapped people, nor did we overthrow Hamas, nor did we allow the residents of Gaza to return to their homes safely.” He continued, saying, “The Israeli army says that achieving the goals of the war will take years.” This is a clear admission of defeat from the head of the Israeli National Security Council. Tzachi Hanegbi during his review of the situation in Gaza that he presented last Wednesday before the Security and Foreign Affairs Committee in the Knesset, “Victory is only an hour’s patience.” “Victory from God and conquest is near.”

Ujumbe toka Israel ndio huo uko wazi wamekiri Hamasi kawashinda vita.

Hakuna walicho weza kufanikisha, Hamasi bado ipo, matekwa hawajarudi, watu wa Gaza hawajarudi makwao salama kama walivyo ahidi hakuna target walizo weka Israel zimefanikiwa.
 
Israel karudi anaomba peace chezea kipigo anacho pokea kwa Hamasi.

Israel hakuna alicho kifanya kwa Hamasi, yeye anakimbilia kufanya genocide, we kwa kuwa kichaa unadhani kuvunja majumba, kuvunja hospital, mashule na kuzuia chakula kisingie Gaza ndio vita 😄

Vita sikwenda uwa vitoto visio na hatia au wabawake na vizee wasio na hatia.

Kuivunja karibu Gaxa yote silaha ziko wapi alizo piga, so alisma ziko kwenye majumba, hakuweza onyesha hata risasi zaidi ya kutuonyesha bollywood movie pale Al shifa hospital 😄

Wanaume Hamasi wanaonyesha video namna wanavyo zisambaratisha silaha za Israel na jeshi Lake.

Matekwa wengine hao leo jitazamie dogo ona mashoga wenzako wanavo tekwa.

View: https://youtu.be/eGiea6RPeg8?si=MVfOihCfDbUJOPWw

hehehe mnachekesha sana, yaani Gaza imerudishwa nyuma miaka 30 kwa kufanywa shamba, mazombi mumekufa zaidi ya 30,000 hadi sisi mashabiki wa Israel tunajikuta tukipata ukakasi na kuomba Israel iache kupiga sasa, ila bado mnaandka vioja.
Israel imesambaratisha pale mahali mpaka hata mataifa ya magharibi yameanza kupata shida kuendelea kuishabikia, mnafanyiziwa hadi huruma.
 
Nyie nyamazeni hi ni mipango ya Allah alisha ahidi wa Israel watafanya hayo alafu atawaangamiza time inakaribia.

Kufa kila mtu atakufa tu akifa kwa kuliwa au kufa kwa maradhi au kwa kawaida tu kila mmoja ameandikiwa atakufa vipi.

Mimi nawaonea huruma walio baki wameshikilia misalaba, wakiamini wanaenda peponi sababu Yesu kachukua dhambia zao 😄
Kwa hiyo allah ndio aliwatuma Hamas wafanye ugaidi dhidi ya Israeli?
 
Israel karudi anaomba peace chezea kipigo anacho pokea kwa Hamasi.

Israel hakuna alicho kifanya kwa Hamasi, yeye anakimbilia kufanya genocide, we kwa kuwa kichaa unadhani kuvunja majumba, kuvunja hospital, mashule na kuzuia chakula kisingie Gaza ndio vita 😄

Vita sikwenda uwa vitoto visio na hatia au wabawake na vizee wasio na hatia.

Kuivunja karibu Gaxa yote silaha ziko wapi alizo piga, so alisma ziko kwenye majumba, hakuweza onyesha hata risasi zaidi ya kutuonyesha bollywood movie pale Al shifa hospital 😄

Wanaume Hamasi wanaonyesha video namna wanavyo zisambaratisha silaha za Israel na jeshi Lake.

Matekwa wengine hao leo jitazamie dogo ona mashoga wenzako wanavo tekwa.

View: https://youtu.be/eGiea6RPeg8?si=MVfOihCfDbUJOPWw

Inawezekana upeo wako wa ufahamu ni mdogo sana kuelewa wanachofanya Israel pale Gaza

Ofkoz sio operation rahisi ina cost hela na maisha ya wapiganaji haswa pale Hamas wanapotumia binadamu kama ngao yao

Kaa kwa kutulia baada ya Israel kumaliza kuisambaratisha Gaza na kuwa rundika wapalestina wote sehemu moja ndio utajua wanafanya nini sasa
 
Kwa hiyo allah ndio aliwatuma Hamas wafanye ugaidi dhidi ya Israeli?
Tatizo lenu nyie wavaa misalaba mmelaniwa hamjifahamu, bibilia zinasema ukitundikwa msalabani unakuwa umelaniwa na nyie mnautukuza msalaba.

Ikiwa bibilia hamzifahamu mtafahamu mtu anaye dai haki yake? We aje jambazi akutokea nyumbani kwako achukue ardhi yako utamuwacha?

Tatizo hamfahamu Bani Israel ni watoto wa Yakobo, hao wa Palestine ni katika wajukuu wa kizao cha Yakobo.

Huyu Netanyahu hana damu ya Bani Israel ametokea Ukraine, we huoni ma Jews wale orignal wanapinga siasa ya hao mazionist.

Wayahudi na warabu wanaishi miaka hawana ugomvi na warabu, wapo nchi nyingi za kiarabu wapo Yemen, wapo Iraq, wapo Iran pia sa we tatizo lako msalaba umekuvuruga akili.
 
Kwani huwezi kujenga hoja bila kuusema vibaya ukristo?

Kama waislam wote wangekua viazi kama wewe hakyanani hii dunia isingekua sehemu salama kabisa.
 
Tatizo lenu nyie wavaa misalaba mmelaniwa hamjifahamu, bibilia zinasema ukitundikwa msalabani unakuwa umelaniwa na nyie mnautukuza msalaba.

Ikiwa bibilia hamzifahamu mtafahamu mtu anaye dai haki yake? We aje jambazi akutokea nyumbani kwako achukue ardhi yako utamuwacha?

Tatizo hamfahamu Bani Israel ni watoto wa Yakobo, hao wa Palestine ni katika wajukuu wa kizao cha Yakobo.

Huyu Netanyahu hana damu ya Bani Israel ametokea Ukraine, we huoni ma Jews wale orignal wanapinga siasa ya hao mazionist.

Wayahudi na warabu wanaishi miaka hawana ugomvi na warabu, wapo nchi nyingi za kiarabu wapo Yemen, wapo Iraq, wapo Iran pia sa we tatizo lako msalaba umekuvuruga akili.
Tulia hivyo mwamba netanyahu autokomeze ugaidi kwa faida ya wapalestina na wayahudi
 
Nyie nyamazeni hi ni mipango ya Allah alisha ahidi wa Israel watafanya hayo alafu atawaangamiza time inakaribia.

Kufa kila mtu atakufa tu akifa kwa kuliwa au kufa kwa maradhi au kwa kawaida tu kila mmoja ameandikiwa atakufa vipi.

Mimi nawaonea huruma walio baki wameshikilia misalaba, wakiamini wanaenda peponi sababu Yesu kachukua dhambia zao 😄
Tena ili hilo limitimie mapema wapige tu bomu la nuclear.
 
Naogopa hata kuposti maana kuna baadhi ya Mods ni wafuasi wa Ayatolah.
 
Back
Top Bottom