Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daah .Cha ajabu wazazi wao wapo pembeni wanaangalia
Una roho mbaya sana wewe ...Watu na tamaduni zao bhana 😄
Unaufahamu mtiti wa kulea mtoto? Unaungana na hao?: Yaani..Unatesaje kiumbe kisicho weza kujitetea???Hamna shida we😊
Acha uongo wako hapa maji yanachapajeKama ushawah kuogelea maji yanachapa yaani ni bora ucharazwe na bakora mia sio maji yakuchape.....binafsi ningewaua..huwez kuwa katil kiasi hicho kwa watoto...
Mtasema maneno yote mtayamaliza lakini hawa wapo, wataongezeka na wataendelea kuwepo kwani ni wafadhili wa CCM.
Nitakueleza Bulldoza na Makonda wakimaliza mashindano ya pikipiki huko Arusha.Wafadhili wa CCM kivi mkuu?
Wewe ni jiwe ndani ya maji ...ukidumbukia kinachofata ni history....jiulize unavojirusha ndani ya maji kwa nin unatanguliza mikono na kichwa...au jaribu hivi jirushe kwenye maji tokea mwinuko mkali alafu uende tulia mgongo...Acha uongo wako hapa maji yanachapaje
Au unafikir sisi hatajawah kuogelea?
Danganya wajinga wenzako
Eti bora uchapwe bakora kuliko maji???!!!! Tapeli wewe
Ndio huu tumeiga huko na hapo jamaa wanajiona wanabatizia Yordan mtoniNi sawa, lakini kuna vitu ni ushenzi kweli, mfano hicho kwenye clip, ni ushenzi!
Sijawahi ona ubatizo wa kutaka kuuwa watoto popote pale duniani, huo ni ushenzi tu..Ndio huu tumeiga huko na hapo jamaa wanajiona wanabatizia Yordan mtoni