Nini kinaendelea Karikaoo, mbona majengo mengi ya shirika la nyumba za taifa (NHC) yanavunjwa kwa kasi?

Ila kariakoo inavunjwa asee!!

Wasiwasi wangu ni Kasi ya ajabu ya huu ujenze wa maghrofa yanayojengwa.

Je,Kuna teknolojia yoyote inatumika katika kusapoti Kasi hii ya ajabu ya kuota kwa haya majengo marefu au ujenzi ni wa kawaida tu wanakimbizana na muda ili wapate wapangaji?

Sijui chochote juu ya teknolojia ya majengo marefu(maghorofa) ila Nina wasiwasi sana na Ujenzi huu wa kasi ya ajabu wa kariakoo.

Ndani ya miezi miwili jengo la zamani limevunjwa na jipya limeshajengwa na mwezi wa tatu ground floor na first groor zimeshapata wapangaji wapya!! Alooooh!!!

Kingine najiuliza..

Mabadiliko haya ya Kasi ya kariakoo ya kubunjwa maghorofa ya zamani na kuota kwa maghrofa mapya siyo kichaka cha mafisadi kweli kuzika Hela wanazoibia hii nchi?

Hii wanayoita PPP isije kuwa kichaka cha Hawa wanene kuficha Hela zao chafu kwa kujenga haya majengo,maana hii Kasi ya ajabu ya ujenzi wa maghrofa mapya siyo mchezo. Kama tupo china au Korea kusini!

Kuna kipindi nilikata kwenda karikaoo kama miezi minne hivi. Siku nimeeenda kutembea,yale mabadiliko ya majengo mapya marefu ya kisasa na ule wingi na jinsi panavyozidi kuvunjwa kwa maghorofa mengine mengi nilishngazwa sana.

Kariakoo panafurahisha macho kwa kinachoendelea ila Kuna maswali mengi sana ya kujiuliza.

ChoiceVariable mdau wa serikali una maoni Gani juu ya hilzi hoja?
 
Nasikiasikia NHC ana assets nyingi hivyo hawezi kuzisimamia zote kwa pamoja hivyo wanaona bora wampe mbia halafu wao wakapata shares pamoja na kodi ya ardhi
 
Wala Sina shaka na hilo.

hoja yangu ni Kasi ya majengo yenyewe. Jengo refu la ghorofa linajengwa kwa miezi mitatu kisha linaanza kutumika kuanzia ground hadi floor ya pili Huku ujenzi ukiendelea.

Hoja yangu ni ujenzi huu wa Kasi unazingatia viwango?

Miaka ya karibuni tumeshuhudia sana Jiji la Nairobi kuporomoka majengo. Yasije kutukuta hayo na sisi in the near future.

Ni Wasiwasi tu!
 
Kama machawa na wadau wa serikali ya CCM hawataki kuja kutoa maelezo basi tuwaite wasemaji wa serikali Chadema akina Erythrocyte waje walisemee hili
 
Nini kinachoendelea maana kila kukicha majengo yanavunjwa kwa kasi ya 5G? Je serikali imeyauza majengo hayo?
Mana mwanzoni nilijua labda serikali inataka kujenga miradi ya kueleweka
Hizo ni JV aka joint ventures. Mji umejaa vijengo vichakqvu vya floors 2 hadi 3 Maeneo prime acha wazivunje wajenge majengo marefu ya kisasa itaondoa tatizo la makazi kwa watoto wetu.
 
Nakupa dondoo pevu,
Angalia gorofa lililopo katika kona nzuri,nenda NHC,sema nataka kuboreha nyumba namba fulani kwa utaratibu wa ppp kwa kipindi cha miaka 20, watakuuliza utakuwa na uwezo wa kujenga ndani ya miezi 6-12,wajibu ndiyo,kuna figure ya fedha utatakiwa kuweka as security,na percentage utakayopaswa kulipa NHC kila mwezi kwa miaka 20, basi zama bank,endelea,acha kulala usingizi mkuu,deal done!,baada ya 20 year ,(unafunga virago vyako) wakati wa ujenzi wahandisi wa NHC watakuwa bega kwa bega kupima uimara halisi.
#kila la kheri.
 
Hizo ni JV aka joint ventures. Mji umejaa vijengo vichakqvu vya floors 2 hadi 3 Maeneo prime acha wazivunje wajenge majengo marefu ya kisasa itaondoa tatizo la makazi kwa watoto wetu.
GT swali je hayo majengo yanajengwa kwa kuzingatia viwango na mipango miji ya muda mrefu. Je drainage system nazo zinarekdbishwa au kubadilishwa?
 
Mwaka 2022 NHC chini ya aliyekuwa Mkurugenzi wake Nehemia Mchechu walitoa tangazo la kuruhusu ubia kwa majengo yake yaliyo kwenye maeneo ya kibiashara.
Tangazo hilo ambalo lilikuwa mubashara kwenye vituo vya luninga limefafanua mgwanyo wa mapato kwa mikataba ya miaka 10 mpaka 25.
Nenda YouTube utaliona hilo
 
Na uzuri wake ukiwa bank deal mzuri sana unaweza kujenga bila hata senti tano yako,ukala juu kwa juu, (fizibiliti stadi yako swafii,na mchanganuo swafii ukakubeba,ndivyo wanavyoishi watoto wa mjini)
RRONDO
#Kulalama na usomi maandazi wa kunungunika tu kila kitu kuona unaonewa tu kama jamaa zetu wale,wakeup and do something strongly
 
Nini kinachoendelea maana kila kukicha majengo yanavunjwa kwa kasi ya 5G? Je serikali imeyauza majengo hayo?
Mana mwanzoni nilijua labda serikali inataka kujenga miradi ya kueleweka
Ndio hata mimi nimeona hizo ni nyumba chakavu nahisi wanajenga upya ila ningejua mapema ningepiga picha k/koo inabadirika majengo yanajengwa mapya
 
Back
Top Bottom