James Hadley Chase
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 2,152
- 4,003
Mkoa gani huo?Labda ni mpango wao kuondoa majengo ya zamani na kujenga mapya, hata huku mkoani kwetu naona jambo hilohilo.
Nasikiasikia NHC ana assets nyingi hivyo hawezi kuzisimamia zote kwa pamoja hivyo wanaona bora wampe mbia halafu wao wakapata shares pamoja na kodi ya ardhiIla kariakoo inavunjwa asee!!
Wasiwasi wangu ni Kasi ya ajabu ya huu ujenze wa maghrofa yanayojengwa.
Je,Kuna teknolojia yoyote inatumika katika kusapoti Kasi hii ya ajabu ya kuota kwa haya majengo marefu au ujenzi ni wa kawaida tu wanakimbizana na muda ili wapate wapangaji?
Sijui chochote juu ya teknolojia ya majengo marefu(maghorofa) ila Nina wasiwasi sana na Ujenzi huu wa kasi ya ajabu wa kariakoo.
Ndani ya miezi miwili jengo la zamani limevunjwa na jipya limeshajengwa na mwezi wa tatu ground floor na first groor zimeshapata wapangaji wapya!! Alooooh!!!
Kingine najiuliza..
Mabadiliko haya ya Kasi ya kariakoo ya kubunjwa maghorofa ya zamani na kuota kwa maghrofa mapya siyo kichaka cha mafisadi kweli kuzika Hela wanazoibia hii nchi?
Hii wanayoita PPP isije kuwa kichaka cha Hawa wanene kuficha Hela zao chafu kwa kujenga haya majengo,maana hii Kasi ya ajabu ya ujenzi wa maghrofa mapya siyo mchezo. Kama tupo china au Korea kusini!
Kuna kipindi nilikata kwenda karikaoo kama miezi minne hivi. Siku nimeeenda kutembea,yale mabadiliko ya majengo mapya marefu ya kisasa na ule wingi na jinsi panavyozidi kuvunjwa kwa maghorofa mengine mengi nilishngazwa sana.
Kariakoo panafurahisha macho kwa kinachoendelea ila Kuna maswali mengi sana ya kujiuliza.
ChoiceVariable mdau wa serikali una maoni Gani juu ya hilzi hoja?
Wala Sina shaka na hilo.Nasikiasikia NHC ana assets nyingi hivyo hawezi kuzisimamia zote kwa pamoja hivyo wanaona bora wampe mbia halafu wao wakapata shares pamoja na kodi ya ardhi
Kama machawa na wadau wa serikali ya CCM hawataki kuja kutoa maelezo basi tuwaite wasemaji wa serikali Chadema akina Erythrocyte waje walisemee hiliWala Sina shaka na hilo.
hoja yangu ni Kasi ya majengo yenyewe. Jengo refu la ghorofa linajengwa kwa miezi mitatu kisha linaanza kutumika kuanzia ground hadi floor ya pili Huku ujenzi ukiendelea.
Hoja yangu ni ujenzi huu wa Kasi unazingatia viwango?
Miaka ya karibuni tumeshuhudia sana Jiji la Nairobi kuporomoka majengo. Yasije kutukuta hayo na sisi in the near future.
Ni Wasiwasi tu!
Hizo ni JV aka joint ventures. Mji umejaa vijengo vichakqvu vya floors 2 hadi 3 Maeneo prime acha wazivunje wajenge majengo marefu ya kisasa itaondoa tatizo la makazi kwa watoto wetu.Nini kinachoendelea maana kila kukicha majengo yanavunjwa kwa kasi ya 5G? Je serikali imeyauza majengo hayo?
Mana mwanzoni nilijua labda serikali inataka kujenga miradi ya kueleweka
Kabisa amon mpanju pamoja na Abdul hafidh wanashusha mijengo tuHizo ni JV aka joint ventures. Mji umejaa vijengo vichakqvu vya floors 2 hadi 3 Maeneo prime acha wazivunje wajenge majengo marefu ya kisasa itaondoa tatizo la makazi kwa watoto wetu.
Nakupa dondoo pevu,Nini kinachoendelea maana kila kukicha majengo yanavunjwa kwa kasi ya 5G? Je serikali imeyauza majengo hayo?
Mana mwanzoni nilijua labda serikali inataka kujenga miradi ya kueleweka
GT swali je hayo majengo yanajengwa kwa kuzingatia viwango na mipango miji ya muda mrefu. Je drainage system nazo zinarekdbishwa au kubadilishwa?Hizo ni JV aka joint ventures. Mji umejaa vijengo vichakqvu vya floors 2 hadi 3 Maeneo prime acha wazivunje wajenge majengo marefu ya kisasa itaondoa tatizo la makazi kwa watoto wetu.
Hamna ubora wowoteGT swali je hayo majengo yanajengwa kwa kuzingatia viwango na mipango miji ya muda mrefu. Je drainage system nazo zinarekdbishwa au kubadilishwa?
Mkuu huku Afrika hakuna viwango,tunaishi tu kama mbuzi. Natumaini nimejibu swali lako.GT swali je hayo majengo yanajengwa kwa kuzingatia viwango na mipango miji ya muda mrefu. Je drainage system nazo zinarekdbishwa au kubadilishwa?
Hahahahahaaaaa cheka sanaMkuu huku Afrika hakuna viwango,tunaishi tu kama mbuzi. Natumaini nimejibu swali lako.
Huu ndiyo ulikuwa wasiwasi wangu kwenye hoja zangu kule juu.Hamna ubora wowote
Ova
Ndio hata mimi nimeona hizo ni nyumba chakavu nahisi wanajenga upya ila ningejua mapema ningepiga picha k/koo inabadirika majengo yanajengwa mapyaNini kinachoendelea maana kila kukicha majengo yanavunjwa kwa kasi ya 5G? Je serikali imeyauza majengo hayo?
Mana mwanzoni nilijua labda serikali inataka kujenga miradi ya kueleweka