Nini kinaendelea kati ya Makonda na Steve Nyerere

yani bashite kile anachojaribu kukifanya saiv kinakwama,hakieleweki,kina utata,kina mshusha,HAKITEKELEZEKI.KUNA LAANA KUBWA INAMUANDAMA
 
Ni sawa umechoma tire kwenye shimo yumo nyoka kinachofuata nyoka waatoka kama mshale, ndio kinatokea sasa wanaanza kutambua huyu bashite akili zake zimekaa kama mbuni


Mkuu waombe samahani Mbuni, hawawezi kuwa na akili kama za Bashite.
 
Huyo Stive Nyerere mzee wa kula rambirambi yupo team Nappe......Juzi wakati Nape anawakanyaga matako wale akina mama wa Mtama Stive alikuwa ndio mpambe wake.... Alipanda hadi jukwaani.


Amesoma upepo kuwa muda wowote Makonda anaweza kutemwa halafu hana team kubwa zaidi ya Mkulu anayemtetea.

Hivyo kijana kuchungulia mbali.
 
Bashite juzi alipokua anahutubia wamachinga wa cd kariakoo karudia tena kauli yake hii "MIMI NI MUNGU WA DAR"
 
Halafu hili suala sijui kwanini linapotoshwa kiasi hiki!!! Hakuna Mmachinga aliyezuiwa kuuza filamu za nje! Hoja iliyopo mezani ni kwamba filamu za nje zifuate utaratibu uingiaji wake!!

Ilivyo ni kwamba, hata kama Bongo Movies nyingi ni low budget lakini majority zinatengenezwa kwa gharama isiyopungua 10 Million!!

Sasa wakati Bongo Movies wanatumia takribani 10 Million kuandaa filamu moja; wafanyabiashara wanatumia bundle ya TZS 1,500/= ku-download takribani movies 5 za nje na kisha kuzidurufu na kuzitowa kwa Wamachinga!!!

Sasa hoja ni kwamba, badala ya wafanyabiashara kufanya pirates; wawe wanaagiza hizo movies za nje kwa njia halali... walipe kodi kama wanavyofanya Bongo Movie n.k!!!

Itakuwa ni ujinga ulioota mizizi endapo mtu atashindwa kuiona hoja ya wana-Bongo Movies!! Hata kama Bongo Movies watengeneze filamu mzuri namna gani bado filamu iliyotengenezwa kwa Sh. 10 Million haiwezi kushindana na filamu iliyopatikana kwa Sh. 300 (mia tatu)!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…