Nini kinaendelea na huu mlipuko wa homa unaopewa jina la infection?

Nini kinaendelea na huu mlipuko wa homa unaopewa jina la infection?

Labla n Mpox ile ya chadema ambayo makala alisema
Yaani haieleweki. Hapa nilipo wameshaumwa zaidi ya watu 20 na wote wanaambiwa ni infection ila dalili ni kama za maralia.

Ina maana hili jambo ni la kawaida?

Na huko town naambiwa watu wengi wanapata hili tatizo. Cases ni nyingi sana. Nini kinaendelea unajua mimi hawa mumiani wa serikalini siwaamini.
 
Back
Top Bottom