Sasa usipotaja eneo husika utaeleweka kweli?🫣TANESCO Hebu mje mtuambie ni nini kinaendelea kwa kweli, Kila Siku lazima ukatike.
Hapa sasa hivi umekatika kuanzia saa Moja jioni, hadi sasa hivi saa 3Usiku bado ni haujarudi.
What is going on? Hujuma?
Aisee its boring.Huku kwetu ambapo hawakati, jana walikata toka saa12 asubuhi mpaka saa2.....zingatia hawakati mara kwa mara.........sasa huko kwenu vipi, inaweza Isha wiki wakiamua na huna cha kufanya sawa
Ndio hivyo mkuu, najua we ni mzee wa mpira sijui sasa utafanyaje, cafcl inaendelea huku....mwenzio nipo na popcorn na remote ni mwendo wa kuangalia huku na huku nini kinaendeleaAisee its boring.
Halafu wameshawasha mitambo yote Stiglers
tatizo wameshatuona kama vile watz hatuna akili timamuNje wapi mkuu?
Hapa Dar tu ni tatizo