Nini kinaendelea na huu Umeme, Kuna mgao wa Kimya Kimya?

uran

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2013
Posts
19,101
Reaction score
31,995
TANESCO Hebu mje mtuambie ni nini kinaendelea kwa kweli, Kila Siku lazima ukatike.

Hapa sasa hivi umekatika kuanzia saa Moja jioni, hadi sasa hivi saa 3Usiku bado ni haujarudi.

What is going on? Hujuma?
 
Huku kwetu ambapo hawakati, jana walikata toka saa12 asubuhi mpaka saa2.....zingatia hawakati mara kwa mara.........sasa huko kwenu vipi, inaweza Isha wiki wakiamua na huna cha kufanya sawa
 
Aisee its boring.
Halafu wameshawasha mitambo yote Stiglers
Ndio hivyo mkuu, najua we ni mzee wa mpira sijui sasa utafanyaje, cafcl inaendelea huku....mwenzio nipo na popcorn na remote ni mwendo wa kuangalia huku na huku nini kinaendelea
 
Umeme unakatika maeneo mengi sana ukiacha uwepo wa bwawa la Rufiji bado mvua zinanyesha kote sioni sababu ya wao kukatakata umeme bila ya sababu za msingi. Upuuzi mtupu.
 
Mgao wa Umeme upo. We unashangaa Leo? Mbona tangu kitambo Sana (Tangu February). Ila wanagawa kwa zamu zamu.
 
Ndio hivyo mkuu, najua we ni mzee wa mpira sijui sasa utafanyaje, cafcl inaendelea huku....mwenzio nipo na popcorn na remote ni mwendo wa kuangalia huku na huku nini kinaendelea
Tanesco wafala sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…