Wanaogopa utukufu wake kama wa mwanakondoo,mtu safi,mvumilivu wa kusingiziwa,asiye na hamaki,mhamasishaji wa tonetone!Why CHADEMA members, especially national leaders, are boycotting to associate themselves with their national vice chairman chairman John Heche in his mission to clear his name towards corruption allegations?
Nani anaehusika na mpango huu wa kumuhujumu kiongozi huyo wa chadema taifa, na kwa madhumuni gaini hata asiambatane na kiongozi yeyote wa kitaifa kwenye ziara zake mikoani? Au ni ubinafsi wake tu, na huko ndiko anapata fursa nzuri zaidi ya kufanya ufisadi?
Sote ni mashahidi,
makamu mwenyekiti anazurura akiwa pekeyake mikoani, lakini mbaya zaidi anajitetea mwenyewe kuhusu sakata la ufisadi linalomkabili yeye binafsi bila msaada wowote kutoka kwa kiongozi yeyote ndani ya chadema ngazi ya taifa, kanda au wilaya.
Unadhani kwanini viongozi wote wa chadema taifa, kanda na wilaya wameamua kujitenga na John Heche, na kuamua kukaa kimya? Kwanini wamekaataa agenda ya kusafisha ufisadi wa makamu mwenyekiti wao?
Au ndio ile,
kila mtu atauchukua mzigo wake mwenyewe?π
Mungu Ibariki Tanzania
Mwenye mpira ndiye anaekabwa ni wakati sahihi sasa CCM kufanya maridhiano na CHAUMMA, TLP,NLD,ACT-Wazalendo,TADEA na NCCR- Mageuzi.Why CHADEMA members, especially national leaders, are boycotting to associate themselves with their national vice chairman chairman John Heche in his mission to clear his name towards corruption allegations?
Nani anaehusika na mpango huu wa kumuhujumu kiongozi huyo wa chadema taifa, na kwa madhumuni gaini hata asiambatane na kiongozi yeyote wa kitaifa kwenye ziara zake mikoani? Au ni ubinafsi wake tu, na huko ndiko anapata fursa nzuri zaidi ya kufanya ufisadi?
Sote ni mashahidi,
makamu mwenyekiti anazurura akiwa pekeyake mikoani, lakini mbaya zaidi anajitetea mwenyewe kuhusu sakata la ufisadi linalomkabili yeye binafsi bila msaada wowote kutoka kwa kiongozi yeyote ndani ya chadema ngazi ya taifa, kanda au wilaya.
Unadhani kwanini viongozi wote wa chadema taifa, kanda na wilaya wameamua kujitenga na John Heche, na kuamua kukaa kimya? Kwanini wamekaataa agenda ya kusafisha ufisadi wa makamu mwenyekiti wao?
Au ndio ile,
kila mtu atauchukua mzigo wake mwenyewe?π
Mungu Ibariki Tanzania
tangu katibu mkuu ajaribu kumtetea na kukutana na upinzani mkali sana,Wanaogopa utukufu wake kama wa mwanakondoo,mtu safi,mvumilivu wa kusingiziwa,asiye na hamaki,mhamasishaji wa tonetone!
Hajatengwa, umeona makengeza!tangu katibu mkuu ajaribu kumtetea na kukutana na upinzani mkali sana,
hakuna kiongozi wa kitaifa, kanda au wilaya anathubutu kutetea ufisadi wa huyo muungwana bali wanamkwepa na kutoa wito wa uchunguzi.
Kiukweli makamu mwenyekiti ametengwa wakati mbaya sana dah π
Matako kabisaWhy CHADEMA members, especially national leaders, are boycotting to associate themselves with their national vice chairman chairman John Heche in his mission to clear his name towards corruption allegations?