Ni lazima azitapike pesa zote alizokulaeti kaenda kujitetea kwa wazee kuhusu ufisadi wake mwenyewe![]()
Weka namba acha maneno mengijikite kwenye hoja mahususi mezani gentleman bila kupindisha mjadala na ingependeza zaidi 🐒
Jibuni hoja za Mzalendo hapa na siyo kuanza kupiga porojo ZenuChawa katika ubora wake.
Uchawa na uzalendo wapi na wapi.Jibuni hoja za Mzalendo hapa na siyo kuanza kupiga porojo Zenu
Mimi siyo ChawaUchawa na uzalendo wapi na wapi.
If you are fool you cannot know that you're fool but it's the people who know, it's the same as when you die you cannot know that you're dead but it's the people who know.Mimi siyo Chawa