kingunge wa jf
JF-Expert Member
- Dec 24, 2013
- 466
- 468
Hilo ndilo tatizo! Walitakiwa wajiite Yanga wa BahariSimba wa bahari
Naomba kujua gharama za GnmCargo kwa CBM mojaNimepakiza mzigo wangu toka tarehe 10, October, 2025 kuto China π¨π³ kuja Tanzania lakini mpaka sasa mzigo haujafika.
Kila ninapowasiliana na Agent na msafirishaji ambaye ni Silent Ocean naambiwa Kuna foleni bandari ilihali nilisafirisha mzigo mwingine kupitia kampuni tofauti ya GnmCargo lakini mzigo huo umefika japo ulitoka mwezi wa December, 2025.
Nini kimewakuta Hawa Silent Ocean? Imekuwa kampuni ya hivyo sana aisee...
Miezi minne sasa mizigo ya wateja haijafika ila wanavyojidai kwenye social media sasa...!
Kuna watu walikuwa wamenunua nguo za sikukuu, wengine za shule wote wanalia na hakuna dalili za mizigo kufika kwa sasa. Tujaomba JF mtusaidie kuwauliza hawa watu jamini wanatutia umasikini, kulikoni hili
Kufanya Monopoly ya huduma Fulani na huna uwezo ni tatizoNgoma ikivuma sana
Brother hao jamaa ni longolongo Sana, mzigo ukifika wanapeleka kwenye ghala lao halafu wanalazimisha ulipe mzigo kwa kukaa siku 10 wakidai mtandao wa TRA na TPA unasumbua, kisa uwalipe tozo ya mzigo kukaa ghala. Yaani wanalazimisha mzigo ukae ghala kwa siku 10 ili uwalipe. Mimi siwatumii tena hao jamaa nimewapiga chini.Nimepakiza mzigo wangu toka tarehe 10, October, 2025 kuto China π¨π³ kuja Tanzania lakini mpaka sasa mzigo haujafika.
Kila ninapowasiliana na Agent na msafirishaji ambaye ni Silent Ocean naambiwa Kuna foleni bandari ilihali nilisafirisha mzigo mwingine kupitia kampuni tofauti ya GnmCargo lakini mzigo huo umefika japo ulitoka mwezi wa December, 2025.
Nini kimewakuta Hawa Silent Ocean? Imekuwa kampuni ya hivyo sana aisee...
Miezi minne sasa mizigo ya wateja haijafika ila wanavyojidai kwenye social media sasa...!
Kuna watu walikuwa wamenunua nguo za sikukuu, wengine za shule wote wanalia na hakuna dalili za mizigo kufika kwa sasa. Tujaomba JF mtusaidie kuwauliza hawa watu jamini wanatutia umasikini, kulikoni hili
Watu wengine mnashiida sana, sasa unazan sisi tunamajibu ya swali lako??Nimepakiza mzigo wangu toka tarehe 10, October, 2025 kuto China π¨π³ kuja Tanzania lakini mpaka sasa mzigo haujafika.
Kila ninapowasiliana na Agent na msafirishaji ambaye ni Silent Ocean naambiwa Kuna foleni bandari ilihali nilisafirisha mzigo mwingine kupitia kampuni tofauti ya GnmCargo lakini mzigo huo umefika japo ulitoka mwezi wa December, 2025.
Nini kimewakuta Hawa Silent Ocean? Imekuwa kampuni ya hivyo sana aisee.
Miezi minne sasa mizigo ya wateja haijafika ila wanavyojidai kwenye social media sasa...!
Kuna watu walikuwa wamenunua nguo za sikukuu, wengine za shule wote wanalia na hakuna dalili za mizigo kufika kwa sasa. Tunaomba JF mtusaidie kuwauliza hawa watu jamini wanatutia umasikini
Kulikoni hili
Unatumia wapi?Brother hao jamaa ni longolongo Sana, mzigo ukifika wanapeleka kwenye ghala lao halafu wanalazimisha ulipe mzigo kwa kukaa siku 10 wakidai mtandao wa TRA na TPA unasumbua, kisa uwalipe tozo ya mzigo kukaa ghala. Yaani wanalazimisha mzigo ukae ghala kwa siku 10 ili uwalipe. Mimi siwatumii tena hao jamaa nimewapiga chini.
Mkuu, nilikuuliza hao GnmCargo wanasafirisha CBM moja kiasi gani? Lakini hadi leo hujanijibu. JF ni kusaidianaNimepakiza mzigo wangu toka tarehe 10, October, 2025 kuto China π¨π³ kuja Tanzania lakini mpaka sasa mzigo haujafika.