thesis77 Member Joined Jan 11, 2021 Posts 13 Reaction score 43 Oct 29, 2026 #21 Na mimi pia imenikuta, nimepakia Mzigo Tangu mwezi wa 9, saizi kila nikipiga simu mara naambiwa umefika bandarini, mara naambiwa utafika mwezi wa 11. sababu et meli ilijaa
Na mimi pia imenikuta, nimepakia Mzigo Tangu mwezi wa 9, saizi kila nikipiga simu mara naambiwa umefika bandarini, mara naambiwa utafika mwezi wa 11. sababu et meli ilijaa