Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Zipi kuzidi hizo za kijani?Zina Faida nyingi zaidi
Hii kweli bei ya oho😁Labda huko kwenu Mlimani City,lakini huku kwetu Oho ya kijani ni 200/=,YA njano ni 200/=,Nyekundu ni 200/=
Okay mkuu.... Tofauti na kuwa zinakaa muda mrefu zaidi shambani bila gharama zake kwenye kuzilima hazina tofauti sana na green. Natamani kuzilima hiziSupply ya hoho za njano na nyekundu ni kidogo wakati demand ni kubwa. Hivyo bei inakuwa juu.
Njano ina vitamin C nyingi kuliko kijani
Nyekundu ina beta carotene nyingi zaidi ya zote
Njano ina zeaxanthin na lutein kiasi kikubwa sana
Njano na nyekundu zinakaa muda mrefu zaidi shambani kabla ya kuvunwa.
Hili sio jibu la hapa......japo ni jibu pia ✌️
Licha ya hivyo.....azistawi kirahisi maeneo mengiNahisi za njano na nyekundu zinalimwa kwa lengo la kuwauzia watu wenye uwezo na wa mataifa ya nje.
Ni kama broccoli haziliwi uswahilini na wala hawazijui.
Hivyo hivyo kwa hoho nyekundu na njano kuna watu uswahilini hawajui hata kama zina exist.
Haya matatizo ya nguvu za kiume, ngoja nizungumze na mwanangu yupo Congo awe analeta vumbi la Kongo, nipige pesa.Ukiona hivyo kuna siri ya nguvu za kiume hapo sio bure
Broccoli🤣 kuna sehemu nliendaga hotel watu wameagiza nikaonja zilikua tamu....namie si nikazinunua kupika zikawa kama dawa🤣🤣 sijawahi kurudia tena kununua.Nahisi za njano na nyekundu zinalimwa kwa lengo la kuwauzia watu wenye uwezo na wa mataifa ya nje.
Ni kama broccoli haziliwi uswahilini na wala hawazijui.
Hivyo hivyo kwa hoho nyekundu na njano kuna watu uswahilini hawajui hata kama zina exist.
Inawezekana hii ndio sababu kubwa, kuota kwake ni ishu...nmeulizia mbegu 🙄🙄 gram 10 elf 60 kijani gram 25 elf 4500 hii difference ni Africa na Ulaya 😁Licha ya hivyo.....azistawi kirahisi maeneo mengi
Tofauti na species za kijani
Duuh, acha tuendelee kula hiyo CCM na Yanga yetu ya kijaniInawezekana hii ndio sababu kubwa, kuota kwake ni ishu...nmeulizia mbegu 🙄🙄 gram 10 elf 60 kijani gram 25 elf 4500 hii difference ni Africa na Ulaya 😁
Nakutafuta.Okay mkuu.... Tofauti na kuwa zinakaa muda mrefu zaidi shambani bila gharama zake kwenye kuzilima hazina tofauti sana na green. Natamani kuzilima hizi