Nilipokuwa Ujerumani niliambiwa wahehe na wajerumani wana mkataba kabisa wa utani tena ni documentedVita - hii inatokea sana ikiwa kulikuwa na vita na baada ya muda pande zote zilikubaliana kuimaliza waishi kwa amani
Utakuwa mkataba feki kama wa Karl Peters na Chief Mangungo, Wajerumani walimsaka sana Mkwawa mpaka akaamua kujipiga risasiNilipokuwa Ujerumani niliambiwa wahehe na wajerumani wana mkataba kabisa wa utani tena ni documented
I do not know lakini walikuwa willing twende kwenye museum tukaone ila sikuwa na mudaUtakuwa mkataba feki kama wa Karl Peters na Chief Mangungo, Wajerumani walimsaka sana Mkwawa mpaka akaamua kujipiga risasi
Kitukuu anapewa hongera kwa kutunza land Rover alilolikuta kwa babu yake.Tunaishukuru serikali ya awamu ya sita chini ya mama Samia kwa kuruhusu utani wa makabila.