mlinzi mlalafofofo
JF-Expert Member
- Apr 20, 2008
- 842
- 1,549
Kbs💯Itakuwa unalipia kukaa na dereva pamoja na kuvuta nae hewa moja!..🤣
Haahaa hewa tena🤣Itakuwa unalipia kukaa na dereva pamoja na kuvuta nae hewa moja!..🤣
Taxi wanatumia ignorance ya mteja kutojua distance ya anapoanzia safari na aendako lakini bolt inapimaKwa maeneo mengi ada yao ni mara 2 au 3 ya wenzao wengine kwa mfano ukiwa dar town centa unaenda ubungo utalipishwa elfu 20 hadi 30 au upo eapoti pale dodoma ukachukua taxi ikuzungushe ikakuache pale chakonichako yaani upande wa pili wa apoapo uwanjani utalipa elfu 30 wkt ukichukua bolt kama umelipa sana basi itakuwa elfu 3 hadi 5 hivi.
Je shida ni nini hasa hapa?
Je taxi zina kodi tofauti na hawa wenzao wengine?
Au wana wanalipa nini cha ziada ambacho hawa wengine hawalipi?
watu hawana dogoHaahaa hewa tena🤣