Nini kinafanya Urusi kuitamani Ukraine koloni lake la zamani na sio mengine?

Nini kinafanya Urusi kuitamani Ukraine koloni lake la zamani na sio mengine?

mcTobby

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2018
Posts
7,894
Reaction score
22,679
Hii vita ya Russia vs Ukraine kuna muda hata siipatii majibu. Urusi alikuwa na makoloni mengi chini ya mwavuli wa Sovieti ikiwemo czech, Belarus, Slovenia na Ukraine ikiwemo n.k . Sasa imekuwaje hata baada ya Muungano huo kuvunjika na kila nchi kuwa huru ila bado mrusi anaitamani tena Ukraine? Yaani mrusi ni kama Demu aliyegoma ku move on hata baada ya kuachwa na Ex wake.
downloadfile-11.jpg
 
Putin anaona wivu Trump kutawala mataifa 50, yeye ana tawala moja tu.
Hivyo naye anataka aongeze nchi za kuzitawala.
 
Hii vita ya Russia vs Ukraine kuna muda hata siipatii majibu. Urusi alikuwa na makoloni mengi chini ya mwavuli wa Sovieti ikiwemo czech, Belarus, Slovenia na Ukraine ikiwemo n.k . Sasa imekuwaje hata baada ya Muungano huo kuvunjika na kila nchi kuwa huru ila bado mrusi anaitamani tena Ukraine? Yaani mrusi ni kama Demu aliyegoma ku move on hata baada ya kuachwa na Ex wake.View attachment 3463931
Utakuta ni viongozi wa Urusi wameona wanawake wazuri Ukraine wanataka kuua kila mtu.
 
Russia hana mpango wa kuichukua Ukraine na kama angetaka kuichukua hakuna wa kumzuia na Wala hilo sio sababu ya vita

Vita ipo ni kwasababu Russia hataki Ukraine iwe kambi ya kijeshi ya Marekani
 
Back
Top Bottom