Nini kinafanya wanawake kujifungua kwa 'operation'?

mkuu naomba niunganishe,
naomba unieleze kidogo what is abruption placenta na je husababishwa na nini??nilipata tatizo hilo wakati wa kujifungua na lilisababisha mtt wangu kufa.please naomba unisaidie kuelewa.
thanks.
Pole sana.
 
Kale kamchezo kinawafanya washindwe kusukuma mtoto nawashauri baadhi ya wanaume waache
 
No 3 hyo haswa ndio tatizo kubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…