Pure_sapiens
JF-Expert Member
- Dec 25, 2016
- 2,228
- 2,064
Duuuh umeweka na vizibitiHili gepu la views 900,000 sio la kitoto na linazidi kuongezeka views 100,000 kwa siku [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
ENEKA in 1 month has 3.4 M views ( kituko ni pale Seduce me imebakisha views 600,000 kuipita ENEKA ndani ya wiki 1) [emoji23][emoji23][emoji23]
FIRE in 2 months has 2.8 M views( Seduce me KIBA 2.8 M in 5 days) [emoji23]
I miss you 2 months has 4.3 M views
Aache dharau
Ingekuwa zamani dai angejipongeza kwa kusema kapata viewers m na ni namba moja sasa kawahiwa na kiba kaona haina hata haja ya kupost alitaka awe yeye namba moja hahahahUmeona eee [emoji16]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Hivi ile ndoa iliishia wapi
Mara moja tu kwa account moja.hivi wakuu unapotazama video YouTube, sheria zinaruhusu u'view Mara ngapi ili view yako ihesabike
Hapo jumlisha hizo za mwanzo na za pili jumla yake atakae mzidi mwenzie ni bingwa lakini kwa swala la kuachia nyimbo nadhani waliangalia nani kapata views wengi muda mchache mara baada ya kuachia nyimbo ndio maana Ally Kiba wakamweka juu coz alikuwa ana views wengi lakini hii haimaanishi wewe ndio unajua zaidi coz safari bado ndefu inatakiwa kutoa nyimbo zingine, pia hizo nyimbo zilizoshindanishwa zilitolewa kwa wakati mmoja kila mtu atoe nyingine kwa wakati tofauti tuone hawa views watajitokeza hivi, pia Ally kiba hakutoa nyimbo muda mrefu, kwaiyo vitu vingi vinaweza kuwa vimesababisha kumpandisha kwa muda mfupi.Video inayotazamwa sana ndani ya siku moja katika nchi husika.
Kwa hiyo kama jana video A ilitazamwa mara 1000 na video B mara 900
VIDEO A itakuwa 1 na B 2
Leo video A mara 1005 na video B mara 1010
Basi video B inakuwa 1
Na video A itakuwa ya 2
who told you?Wcb hawana hamu na mzee wa tembo.
Vunjavunja virekodi uchwara youtube vyote.
Sent using Jamii Forums mobile app
Diamond.
Naona seduce me imerudi kuwa 1 on trending
Ama kweli seduce me sio ya mchezo mchezo
Daimond kakaa hapo masaa machache tu
Lazima uwe na kaunti ya you tube au?Mara moja tu kwa account moja.
YakawajerNdio hivyo jana Domo alikuwa na views nyingi ilipofika saa 6 usiku mambo yamebadilika [emoji23][emoji23][emoji23]
Hapo jumlisha hizo za mwanzo na za pili jumla yake atakae mzidi mwenzie ni bingwa lakini kwa swala la kuachia nyimbo nadhani waliangalia nani kapata views wengi muda mchache mara baada ya kuachia nyimbo ndio maana Ally Kiba wakamweka juu coz alikuwa ana views wengi lakini hii haimaanishi wewe ndio unajua zaidi coz safari bado ndefu inatakiwa kutoa nyimbo zingine, pia hizo nyimbo zilizoshindanishwa zilitolewa kwa wakati mmoja kila mtu atoe nyingine kwa wakati tofauti tuone hawa views watajitokeza hivi, pia Ally kiba hakutoa nyimbo muda mrefu, kwaiyo vitu vingi vinaweza kuwa vimesababisha kumpandisha kwa muda mfupi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yakawajer