Nini kinafanya wimbo kuwa no 1 trending

Nini kinafanya wimbo kuwa no 1 trending

Hili gepu la views 900,000 sio la kitoto na linazidi kuongezeka views 100,000 kwa siku [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

7e95ded0535675b489d8af4e3581ff51.jpg

ENEKA in 1 month has 3.4 M views ( kituko ni pale Seduce me imebakisha views 600,000 kuipita ENEKA ndani ya wiki 1) [emoji23][emoji23][emoji23]

FIRE in 2 months has 2.8 M views( Seduce me KIBA 2.8 M in 5 days) [emoji23]

I miss you 2 months has 4.3 M views

Aache dharau

fae454a9f50204bde4c6107d82caf06b.jpg
Duuuh umeweka na vizibiti

great thinker
 
Video inayotazamwa sana ndani ya siku moja katika nchi husika.

Kwa hiyo kama jana video A ilitazamwa mara 1000 na video B mara 900
VIDEO A itakuwa 1 na B 2
Leo video A mara 1005 na video B mara 1010
Basi video B inakuwa 1
Na video A itakuwa ya 2
Hapo jumlisha hizo za mwanzo na za pili jumla yake atakae mzidi mwenzie ni bingwa lakini kwa swala la kuachia nyimbo nadhani waliangalia nani kapata views wengi muda mchache mara baada ya kuachia nyimbo ndio maana Ally Kiba wakamweka juu coz alikuwa ana views wengi lakini hii haimaanishi wewe ndio unajua zaidi coz safari bado ndefu inatakiwa kutoa nyimbo zingine, pia hizo nyimbo zilizoshindanishwa zilitolewa kwa wakati mmoja kila mtu atoe nyingine kwa wakati tofauti tuone hawa views watajitokeza hivi, pia Ally kiba hakutoa nyimbo muda mrefu, kwaiyo vitu vingi vinaweza kuwa vimesababisha kumpandisha kwa muda mfupi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio hivyo jana Domo alikuwa na views nyingi ilipofika saa 6 usiku mambo yamebadilika [emoji23][emoji23][emoji23]
Naona seduce me imerudi kuwa 1 on trending
Ama kweli seduce me sio ya mchezo mchezo
Daimond kakaa hapo masaa machache tu
 
Ali Kiba alipiga promo ya nyimbo yake kwa siku 10 kabla hajatoa
Domo ameshtukiza kama ziara za............ [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Hapo jumlisha hizo za mwanzo na za pili jumla yake atakae mzidi mwenzie ni bingwa lakini kwa swala la kuachia nyimbo nadhani waliangalia nani kapata views wengi muda mchache mara baada ya kuachia nyimbo ndio maana Ally Kiba wakamweka juu coz alikuwa ana views wengi lakini hii haimaanishi wewe ndio unajua zaidi coz safari bado ndefu inatakiwa kutoa nyimbo zingine, pia hizo nyimbo zilizoshindanishwa zilitolewa kwa wakati mmoja kila mtu atoe nyingine kwa wakati tofauti tuone hawa views watajitokeza hivi, pia Ally kiba hakutoa nyimbo muda mrefu, kwaiyo vitu vingi vinaweza kuwa vimesababisha kumpandisha kwa muda mfupi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ni traffic per second. sio lazma mwenye views nyingi awe anaongoza kwenye trending....
 
yaani hata ukijichukua selfie uko uchi...kisha ukarusha utube no. 1 inakuhusu, kila mtu atataka kukuangalia
 
Back
Top Bottom