Nini kinafanyika kudhibiti harufu za vyoo mahotelini?

Faana

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2011
Posts
38,657
Reaction score
44,759
Nimekuwa najiuliza nini hufanyika kwenye vyoo vya mahoteli makubwa kutokuwepo na harufu ndani pamoja na kwamba vyoo hivyo havina madirisha tofauti na majumbani ambamo mtu na hasa mgeni akiingia kama rooms zipo karibu na toilet basi wenyeji mnabaki kujibaraguza kelele puani haidhibitiki.
 
Hivi ilikuwepo haja sana kuingia JF na kuuliza swali kama hili?
 
Nimekuwa najiuliza nini hufanyika kwenye vyoo vya mahoteli makubwa kutokuwepo na harufu ndani pamoja na kwamba vyoo hivyo havina madirisha tofauti na majumbani ambamo mtu na hasa mgeni akiingia kama rooms zipo karibu na toilet basi wenyeji mnabaki kujibaraguza kelele puani haidhibitiki.
Kemikali na hotel nyingi system za STP, mzigo haukai kwenye chambers unaenda moja Kwa moja unavurugwa wanatoa maji na kutumia tena kwenye bustani
 
Asante Mkuu je inawezekana ku adopt technology hiyo majumbani au ni gharama sana
 
Ni usafi tu wa hali ya juu. Chooni kwangu ni kusafi pia kunanukia vizuri tu naweza hata kutandika mkeka sakafuni nikala bila shida yoyote ile. Usafi wa nyumba ni kitu muhimu sana. Wengi ama kwa uvivu au kulipua lipua kunafanya vyoo vingi kuwa katika hali mbaya.
Nimekuwa najiuliza nini hufanyika kwenye vyoo vya mahoteli makubwa kutokuwepo na harufu ndani pamoja na kwamba vyoo hivyo havina madirisha tofauti na majumbani ambamo mtu na hasa mgeni akiingia kama rooms zipo karibu na toilet basi wenyeji mnabaki kujibaraguza kelele puani haidhibitiki.
 
Ni usafi tu wa hali ya juu. Chooni kwangu ni kusafi pia kunanukia vizuri tu naweza hata kutandika mkeka sakafuni nikala bila shida yoyote ile. Usafi wa nyumba ni kitu muhimu sana. Wengi ama kwa uvivu au kulipua lipua kunafanya vyoo vingi kuwa katika hali mbaya.
Usafi ni wa uhakika mkuu sina hofu na hilo
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Usafi ni wa uhakika mkuu sina hofu na hilo
Msimbeze mleta mada mkadhani usafi pekee unaweza kumaliza harufi, kuna vitu ukivikosea kwenye Choo utajuta pamoja na usafi utashangaa harufu yote unarudi ndani. Niliwahi kumtembelea rafiki yangu nyumba nzuri kweli lkn usiku mkilala mkiamka mnakuta vyoo vyote ninarudisha harufu.
 
Nimekuwa najiuliza nini hufanyika kwenye vyoo vya mahoteli makubwa kutokuwepo na harufu ndani pamoja na kwamba vyoo hivyo havina madirisha tofauti na majumbani ambamo mtu na hasa mgeni akiingia kama rooms zipo karibu na toilet basi wenyeji mnabaki kujibaraguza kelele puani haidhibitiki.
Kuwa na harufu mbofu mbofu itokanayo na vinyesi majumbani, cha kwanza na cha muhimu huwa ni ujenzi mbovu wa miundo mbinu ya choo husika na pia ni suala la kutokuzingatia usafi.

Kwenye ujenzi wa bomba la maji taka toka chooni hadi kwenye chemba na kutoka chemba kwenda kwenye shimo kuu lazima pawekwe bomba la venti la kutolea hewa chafu, vyote vinahitajika kupangwa kwa umakini wa hali ya juu.

Mlalo wa mabomba ya maji taka unatakiwa kusetiwa kwa vipimo sahihi ili unapoflash maji toka kwenye sinki la choo, maji yakokote taka zote za kinyesi bila kuacha mabaki nyuma.

Choo kikipata fundi nzuri wa ujenzi na akajenga kwa kufuata kanuni za ujenzi, mbona utaenjoy?
 
Bomba za kutolea hewa chafu na air freshener
 
Ameleta mada ya muhimu saana. Kama unaona haifai ipite
Nakushukuru sana Mkuu umenifariji sana, kuna watu humu ni wa ajabu sana wanajiona wako perfect wanajua kila kitu, usiyejua ukiuliza wanakuona huna haki, ubarikiwe sana
 
Kuwa na harufu mbofu mbofu itokanayo na vinyesi majumbani, cha kwanza na cha muhimu huwa ni ujenzi mbovu wa miundo mbinu ya choo husika na pia ni suala la kutokuzingatia usafi.

Kwenye ujenzi wa bomba la maji taka toka chooni hadi kwenye chemba na kutoka chemba kwenda kwenye shimo kuu lazima pawekwe bomba la venti la kutolea hewa chafu, vyote vinahitajika kupangwa kwa umakini wa hali ya juu.

Mlalo wa mabomba ya maji taka unatakiwa kusetiwa kwa vipimo sahihi ili unapoflash maji toka kwenye sinki la choo, maji yakokote taka zote za kinyesi bila kuacha mabaki nyuma.

Choo kikipata fundi nzuri wa ujenzi na akajenga kwa kufuata kanuni za ujenzi, mbona utaenjoy?
Umenifungua ufahamu kwa kiasi kikubwa sana Mkuu nakushukuru
 
Msimbeze mleta mada mkadhani usafi pekee unaweza kumaliza harufi, kuna vitu ukivikosea kwenye Choo utajuta pamoja na usafi utashangaa harufu yote unarudi ndani. Niliwahi kumtembelea rafiki yangu nyumba nzuri kweli lkn usiku mkilala mkiamka mnakuta vyoo vyote ninarudisha harufu.
Ubarikiwe sana Kiongozi, kuna watu wanajiona wako perfect sana, na hawana mchango wowote wa kujengana
 
Back
Top Bottom