Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nashukuru sana kiongoziKwa sehemu kubwa ni setting ya ujenzi wa vyoo. Kuna muundo wa kitaalamu huwa unatumika ambao hauruhusu harufu kurudi nyuma na kubakia chooni au ndani ya nyumba. Tafuta fundi mzuri na mwenye utaalamu huo, baada ya hapo itakuwa ni hadithi tu.
Nakushukuru sana Mkuu nimejifunza jambo kubwa sana na hasas katika mchoro wa piliHii imewahi kunitokea ktk nyumba moja niliyowahi kupanga, public toilet ilikuwa inatoa harufu hadi uflash zaidi ya mara1.
Baadae tulikuja kugundua tatizo, yale maji yanayotunzwa kwenye choo yalikuwa yanaacha uwazi kidogo na kuruhusu harufu kurudi ndani kirahisi japokuwa bomba la kutolea hewa chafu lilikuwepo.
Kona ya bomba la kutoa uchafu ilikuwa na upinde mdogo kwahiyo maji yalikuwa yanaacha uwazi kwa juu.View attachment 1825148
Hii ya kuvuruga uchafu maji kutumika kwenye bustani, nahitaji kuijua, tutumie mashambani mwetu, itakuwa mbolea mbadala.Kemikali na hotel nyingi system za STP, mzigo haukai kwenye chambers unaenda moja Kwa moja unavurugwa wanatoa maji na kutumia tena kwenye bustani