Acheni ujinga muwe mnaupdate website zao,mcheki nini kipya,mnaona kabisa wamewaandikia maelezo kwamba watatoa post zao baada ya joint admision itakayofanyika tarehe 22th september 2014,watakuwepo nacte,tcu na wawakilishi wa kutoka vyuo vyote.Wamesema baada ya meeting hiyo wanaachia hewani.SO KEEP IT IN YOUR MIND,ANGALIA TANGAZO LIPO KWENYE WEBSITE YA NACTE MWANZONI.