Acheni ujinga muwe mnaupdate website zao,mcheki nini kipya,mnaona kabisa wamewaandikia maelezo kwamba watatoa post zao baada ya joint admision itakayofanyika tarehe 22th september 2014,watakuwepo nacte,tcu na wawakilishi wa kutoka vyuo vyote.Wamesema baada ya meeting hiyo wanaachia hewani.SO KEEP IT IN YOUR MIND,ANGALIA TANGAZO LIPO KWENYE WEBSITE YA NACTE MWANZONI.
afu we jamaa unakimbele mbele Kweli. INA mana hujui kwamba cc Wa second bado hatujapangiwa na mud a bado haujaisha... au ndo mwenye shibe hamjui mwemye njaa kama ww umekwisha pangiwa tulia post zitatoka tu hata kama ni December a cha kieleele kama vile ww ndo Wa kwanza kwenda Chuo.
Tarehe 22 ndo post jaman. Huwez ukalazimisha watoe post kesho alaf watu mnafikir ni kazi rahisi sanaa watu wanacheza na code uko hawalali wanawaangaikia halaf una kuta mijitu inaanza kuponda nacte or tcu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.