BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 4,548
- 11,901
Akili kumkichwa,wacha waendelee kuwa vibaraka watjikuta shomoniJapani ilipitwa na China 2010 na kutoleqa nafasi ya pili, kumbuka Japani imekaa nafasi ya pili kwa miaka 40.
Sasa mwakani tena inatolewa nafasi ya 3 hivyo kuangukia nafasi ya 4 ambayo nayo huenda ikaja kuotelewa tena.
Ninacho kiona Japani ni kufuata mkumbo wa USA, mfano India kwa sasa anapata mafuta kwa bei chee sana kutoka Urusi, Ilihali Japani yeye akiwa ameungana na Marekani kuiweka Urusi vikwazo amnavyo vinaithori sana Japani.
View attachment 3160033
Nadhani suala kubwa hapa ni population ya India inazidi kuwa kubwa huku population ya Japan ikiendelea kuporomoka.Japani ilipitwa na China 2010 na kutoleqa nafasi ya pili, kumbuka Japani imekaa nafasi ya pili kwa miaka 40.
Sasa mwakani tena inatolewa nafasi ya 3 hivyo kuangukia nafasi ya 4 ambayo nayo huenda ikaja kuotelewa tena.
Ninacho kiona Japani ni kufuata mkumbo wa USA, mfano India kwa sasa anapata mafuta kwa bei chee sana kutoka Urusi, Ilihali Japani yeye akiwa ameungana na Marekani kuiweka Urusi vikwazo amnavyo vinaithori sana Japani.
View attachment 3160033
1.population kubwa ya wazee,wanaofanya kazi ni wachache sana,production ni ndogo mnoJapani ilipitwa na China 2010 na kutoleqa nafasi ya pili, kumbuka Japani imekaa nafasi ya pili kwa miaka 40.
Sasa mwakani tena inatolewa nafasi ya 3 hivyo kuangukia nafasi ya 4 ambayo nayo huenda ikaja kuotelewa tena.
Ninacho kiona Japani ni kufuata mkumbo wa USA, mfano India kwa sasa anapata mafuta kwa bei chee sana kutoka Urusi, Ilihali Japani yeye akiwa ameungana na Marekani kuiweka Urusi vikwazo amnavyo vinaithori sana Japani.
View attachment 3160033
Lakini bado ina uchumi mara milioni moja ukifananisha na Tanzania yako yenye vijana wengi na wazee wachachePia Japan imejaa wazee! Mambo ya uzazi wa mpango usio na mpango umejibu.
Mbaya zaidi, Japanese wanajiona watu maalumu hawana utamaduni wa kukaribisha wageni - ni wabaguzi.
Sio swala la sijui kuikumba Bali ni ishu tuu za ukuaji wa Uchumi.Japani ilipitwa na China 2010 na kutoleqa nafasi ya pili, kumbuka Japani imekaa nafasi ya pili kwa miaka 40.
Sasa mwakani tena inatolewa nafasi ya 3 hivyo kuangukia nafasi ya 4 ambayo nayo huenda ikaja kuotelewa tena.
Ninacho kiona Japani ni kufuata mkumbo wa USA, mfano India kwa sasa anapata mafuta kwa bei chee sana kutoka Urusi, Ilihali Japani yeye akiwa ameungana na Marekani kuiweka Urusi vikwazo amnavyo vinaithori sana Japani.
View attachment 3160033
Inawezekana uchaguzi wa viongozi wa serikali za mitaa huko,ccm hawakuweka watu compitentJapani ilipitwa na China 2010 na kutoleqa nafasi ya pili, kumbuka Japani imekaa nafasi ya pili kwa miaka 40.
Sasa mwakani tena inatolewa nafasi ya 3 hivyo kuangukia nafasi ya 4 ambayo nayo huenda ikaja kuotelewa tena.
Ninacho kiona Japani ni kufuata mkumbo wa USA, mfano India kwa sasa anapata mafuta kwa bei chee sana kutoka Urusi, Ilihali Japani yeye akiwa ameungana na Marekani kuiweka Urusi vikwazo amnavyo vinaithori sana Japani.
View attachment 3160033
Nadhani suala kubwa hapa ni population ya India inazidi kuwa kubwa huku population ya Japan ikiendelea kuporomoka.
India ni taifa lenye idadi kubwa ya watu duniani ukichagiza na maendeleo ya science na technology ni suala la muda tu kabla Japan haijatupwa nje ya kumi bora.
Nchi kama Brazil zinaweza kuipiku Japan muda si mrefu sana.
Japani ilipitwa na China 2010 na kutoleqa nafasi ya pili, kumbuka Japani imekaa nafasi ya pili kwa miaka 40.
Sasa mwakani tena inatolewa nafasi ya 3 hivyo kuangukia nafasi ya 4 ambayo nayo huenda ikaja kuotelewa tena.
Ninacho kiona Japani ni kufuata mkumbo wa USA, mfano India kwa sasa anapata mafuta kwa bei chee sana kutoka Urusi, Ilihali Japani yeye akiwa ameungana na Marekani kuiweka Urusi vikwazo amnavyo vinaithori sana Japani.
View attachment 3160033
Nafikiri suala la population ni kweli kwamba ni miongoni mwa sababu kuu za kufanya Uchumi wa Japan kuwa stagnant. Aging population ni tatizo kubwa sana nchini Japan.Pia Japan imejaa wazee! Mambo ya uzazi wa mpango usio na mpango umejibu.
Mbaya zaidi, Japanese wanajiona watu maalumu hawana utamaduni wa kukaribisha wageni - ni wabaguzi.
By mwaka huo uliotaja (2100) Tanzania itakuwa miongoni mwa nchi 10 zenye population kubwa duniani. Lets hope kwa kigezo cha population na sisi tutakuwa among the 10 large economies in the world! Tumejiandaa au tunasubiri miujiza?Sio swala la sijui kuikumba Bali ni ishu tuu za ukuaji wa Uchumi.
Nchi zote ambazo zimeendelea kiuchumi xinakuwa zimefikia stage ya Juu kabisa ya Maendeleo ambapo inakuwa assumed kwamba no idle resources zote ziko kwenye full employment and so Nchi inasalia kutegemea technological innovation ku move.
Japan nayo ilipigianstahe zote hizo za India miaka ya 80 na kuipiku Uingereza na Germany.
Ni suala la mda tuu hata USA itapitwa na China na pia India itakuja kuwapita wote na baadae miaka ya 2100 huko usije shangaa Nchi nyingine ambazo Bado Zina Rasilimali nyingi kuja kuwa Juu.
HehehewwLakini bado ina uchumi mara milioni moja ukifananisha na Tanzania yako yenye vijana wengi na wazee wachache