Nini kinaikumba Japan? Mwakani India inaipiku na kuwa Taifa la tatu lenye uchumi mkubwa Ulimwenguni

Hii ni kawaida katika cirle ya maisha.
Itafikia kipindi hata nchi za Kiafrika zitakuwa juu sana kiuchumi ikilinganishwa na nchi za Ulaya.
Dunia ipo katika movement/rotation hivyo aliye juu atakuja kushuka na aliye chini atapanda juu.
Kumbuka pia kuna 'reincarnation'
 
Nchi nyingi huko East Asia nazo zinazalisha na kuuza sana bidhaa za viwandani tena zinazalisha Kwa ubora wa Hali ya juu na bei rafiki kidogo, hivyo nchi huko hazinunui sana kama zamani, zinanunua kidogo tu...

Nyingine nadhani ni ile Hali ya wajapani kujiona ni superior kweli kweli zaidi ya wengine Leo hii wachina wapo Kila mahali Hadi porini vijijin ndani kiasi ambacho huwezi kufikiria Yani kama ilivyo Kwa wazungu miaka ya zamani ndivyo wachina wanavyopitia hiyo stage ya kusaka taarifa, wahindi nao Kila mahali wapo, hivyo hiyo hali inaweza kupelekea arrogance na kutokubadilika katika mikakati, njia na namna gani unaweza kuingia kwa nguvu kwenye soko.

Nyingine, ni ile Hali ya confusion kipi cha kufuata kiutamaduni, Mila na jadi. Nafikiri wajapani wapo kwenye dilemma ya fikra Kwa namna gani na njia ipi ya kiutamaduni tuifuate, japani ni miongoni mwa nchi zilizoendelea zinazofuata na kupenda tamaduni zao kindakindaki, lakini Sasa vijana wa Sasa wako dilemma wafuate kipi kati ya kile wanachoambiwa na wazee wao (ambao wako wengi nao) au waende jinsi dunia inavyoenda, wahafidhina wakijapani huona kama taifa lao linaharibika Kwa kufuata sana ya nje, hii hupelekea ugumu na kutokutekelezeka Kwa baadhi ya mambo hasa yanayohitaji umoja (umoja ni uchumi) hivyo Kila mmoja anapigana vita yake mwenyewe kitu ambacho si kizuri Kwa future ya pamoja ya uchumi wa nchi.

But still, Japan wana bidhaa Bora sanaaa ambazo zimewaacha mbali mataifa mengi tu ya Ulaya.
 
Japani ilipitwa na China 2010 na kutoleqa nafasi ya pili, kumbuka Japani imekaa nafasi ya pili kwa miaka 40.

Sasa mwakani tena inatolewa nafasi ya 3 hivyo kuangukia nafasi ya 4 ambayo nayo huenda ikaja kuotelewa tena.

Ninacho kiona Japani ni kufuata mkumbo wa USA, mfano India kwa sasa anapata mafuta kwa bei chee sana kutoka Urusi, Ilihali Japani yeye akiwa ameungana na Marekani kuiweka Urusi vikwazo amnavyo vinaithori sana Japani.
View attachment 3160033

JAPAN bado wako vizuri. Wakiwa wa nne bado si mbaya. Je vipi Tanzania ambayo hata uzalishaji wa mihogo tu ni shida. Tunazalisha machawa na hatuna pa kuwaexport. Tuna surplus ya machawa. Nadhani tuangalie namna ya kujikwamua sisi na si kuwashangaa waliofanikiwa au wanaofanikiwa.
 
Sina utaalam wa uchumi kimataifa, ila sidhani Japan kuna mtu analala kwenye mabox na madarakani kama India. Kuwa na uchumi no 2 duniani kutawaondoleaje wahindi ufukara uliopitiliza.
 
Kipindi hiko India ikinunua kwa wingi kutoka Japan (na kwingineko) sasa haifanyi tena hivyo badala yake inazalisha yenyewe na kuuza nje. Export ikianza kuzidi import lazima uchumi ukue. That means kile kiasi ambacho Japan alikuwa anauza India (na kwingineko) kimepungua sana hivyo lazima uchumi wake usinyae.

Pili, purchasing power ya normal Indians imekuwa tofauti na miaka ya nyuma. Mnazalisha na kununua wenyewe na surplus Mna-export lazima uchumi uwe mkubwa plus population. Utaona India imeanza kuzidi Japan kwa aspects muhimu za kiuchumi.
That's true,pia hawajataka kubadilika,hata mtu binafsi yafaa uende na wakati,mfano Nokia walitamba sana sokoni enzi hizo,lkn ilipokuja teknolojia mpya yakuslide kioo,wao wakaikataa kuiapply,wakajikuta wametupwa nje ya soko, Hadi wakatiweka kabisaa.
 
Wote mnaosema india wako vizuri .........sasa mkipewa nafasi ya kwenda kuishi japan au india ..........wote mtachagua japan...........ndio mjue japan kutamu sana...........huko india wanalala mpaka barabarani wanakula vitu vichafu vichafu wako kama misukule yaani hawaeleweki.......hata kuabudu kwao ni kisanga maana kuna wengine wale sijui wa dini ya shetan wako uchi tu masaa 24 kazi kujipaka unga na kukaa pembezoni mwa bahari
 
Sina utaalam wa uchumi kimataifa, ila sidhani Japan kuna mtu analala kwenye mabox na madarakani kama India. Kuwa na uchumi no 2 duniani kutawaondoleaje wahindi ufukara uliopitiliza.
Kinachojadiliwa hapa ni thamani ya uchumi wote wa India vs ule wa Japan aka GDP. Yaani jumla (grand total) ya thamani ya bidhaa na huduma zote zitakazozalishwa India ndani ya muda mfupi ujao jumla hiyo itazidi ile ya Japan.

Kwa kuwa India ina population kubwa by far kuliko Japan, ukichukua thamani ya uchumi wa India ukigawa kwa idadi ya watu (GDP per capita) similarly for Japan ya Japan is larger by far kuliko ya India na ndipo concept ya "kulala kwenye maboksi" India inapokuja.

To summarize, hali ya maisha ya mtu mmoja mmoja kwa Japan is by far better than that of India ila tukiitazama India kutokea nje bila kujali population yake tunaona uchumi mkubwa kuliko Japan. That's it.
 
Hii ni kawaida katika cirle ya maisha.
Itafikia kipindi hata nchi za Kiafrika zitakuwa juu sana kiuchumi ikilinganishwa na nchi za Ulaya.
Dunia ipo katika movement/rotation hivyo aliye juu atakuja kushuka na aliye chini atapanda juu.
Kumbuka pia kuna 'reincarnation'
Achana na nadharia za rebirth ktk uchumi.haitowezekana kwa akili hizi za kijinga ktk baadhi ya mambo ya uchumi
 
Wote mnaosema india wako vizuri .........sasa mkipewa nafasi ya kwenda kuishi japan au india ..........wote mtachagua japan...........ndio mjue japan kutamu sana...........huko india wanalala mpaka barabarani wanakula vitu vichafu vichafu wako kama misukule yaani hawaeleweki.......hata kuabudu kwao ni kisanga maana kuna wengine wale sijui wa dini ya shetan wako uchi tu masaa 24 kazi kujipaka unga na kukaa pembezoni mwa bahari
Absolutely right. Why? Because Japan's GDP per capita is better than that of India. Conversely, India's GDP is bigger than that of Japan. Mjadala huu umejikita kwenye GDP zaidi.
 
Kipindi hiko India ikinunua kwa wingi kutoka Japan (na kwingineko) sasa haifanyi tena hivyo badala yake inazalisha yenyewe na kuuza nje. Export ikianza kuzidi import lazima uchumi ukue. That means kile kiasi ambacho Japan alikuwa anauza India (na kwingineko) kimepungua sana hivyo lazima uchumi wake usinyae.

Pili, purchasing power ya normal Indians imekuwa tofauti na miaka ya nyuma. Mnazalisha na kununua wenyewe na surplus Mna-export lazima uchumi uwe mkubwa plus population. Utaona India imeanza kuzidi Japan kwa aspects muhimu za kiuchumi.
Na idadi ya watu pia ina mata
 
Kinachojadiliwa hapa ni thamani ya uchumi wote wa India vs ule wa Japan aka GDP. Yaani jumla (grand total) ya thamani ya bidhaa na huduma zote zitakazozalishwa India ndani ya muda mfupi ujao jumla hiyo itazidi ile ya Japan.

Kwa kuwa India ina population kubwa by far kuliko Japan, ukichukua thamani ya uchumi wa India ukigawa kwa idadi ya watu (GDP per capita) similarly for Japan ya Japan is larger by far kuliko ya India na ndipo concept ya "kulala kwenye maboksi" India inapokuja.

To summarize, hali ya maisha ya mtu mmoja mmoja kwa Japan is by far better than that of India ila tukiitazama India kutokea nje bila kujali population yake tunaona uchumi mkubwa kuliko Japan. That's it.
Asante mkuu kwa kudadavua vyema. But kwangu hiyo GDP kubwa haina msaada ikiwa gawio hilo halimfikii mtu mmoja mmoja. Japo kupanda zaidi kwa uchumi wao huenda siku moja utashuka chini kwa walala hoi ikiwa wana sera za kugawana kipato, kwa kutoa ajira au mikopo
 
JAPAN bado wako vizuri. Wakiwa wa nne bado si mbaya. Je vipi Tanzania ambayo hata uzalishaji wa mihogo tu ni shida. Tunazalisha machawa na hatuna pa kuwaexport. Tuna surplus ya machawa. Nadhani tuangalie namna ya kujikwamua sisi na si kuwashangaa waliofanikiwa au wanaofanikiwa.
Hii waulize CCM
 
Hii tabia ya kufuata mkumbo wa Marekani kumeiponza Ujerumani ,sasa hivi uchumi wa Ujerumani unapumlia mashine na unakaribia kuanguka.
Yaani viongozi wa Ujerumani ni wasenge sana yaani wanashauliwa na Marekani wasinunue gesi na mafuta ya Urusi yenye bei ndogo alafu yeye ana anawauzia gesi yenye bei kubwa mara 4 ya ile ya Urusi.

Huu usenge nchi nyingi ziliukataa,kuanzia Uturuki , Indonesia,India,China hata Italy ambaye ni kibaraka mwenzao aliukataa huo usenge.
Mbona miisilamu kwa makundi inafurika kukimbilia huko kama uchumi wake unapumulia. Mbona miisilamu haiendi huko china Saudia iran kwenye uchumi mzuri Miisilamu bana.
 
Wote mnaosema india wako vizuri .........sasa mkipewa nafasi ya kwenda kuishi japan au india ..........wote mtachagua japan...........ndio mjue japan kutamu sana...........huko india wanalala mpaka barabarani wanakula vitu vichafu vichafu wako kama misukule yaani hawaeleweki.......hata kuabudu kwao ni kisanga maana kuna wengine wale sijui wa dini ya shetan wako uchi tu masaa 24 kazi kujipaka unga na kukaa pembezoni mwa bahari
Hao India au Cjina ndio sasa wanapamabana kuimprove hali za maisha ya raia wao, wana Project kubwa sana za kuinua hali za raia wao hasa india sema pia Pupulation yao sasa.

Unaweza kuta India wenye vipato vya kati na juu ncni nzima labda ni millio. 400 wakati wao wako Billion 1 na zaidi. hii 400 bado ni kubwa kulilo pupulayion uote ya Japani, sema kwa Inida hainekani kwa sababu ya idadi ya watu.
 
JAPAN bado wako vizuri. Wakiwa wa nne bado si mbaya. Je vipi Tanzania ambayo hata uzalishaji wa mihogo tu ni shida. Tunazalisha machawa na hatuna pa kuwaexport. Tuna surplus ya machawa. Nadhani tuangalie namna ya kujikwamua sisi na si kuwashangaa waliofanikiwa au wanaofanikiwa.
Inabidi tuanze Export ya machawa maana tumefikia Surplus Level. Yani imefikia mtu akiamka asubuhi anaanza kwanza kumshukuru mama Samia😁
 
Kinachojadiliwa hapa ni thamani ya uchumi wote wa India vs ule wa Japan aka GDP. Yaani jumla (grand total) ya thamani ya bidhaa na huduma zote zitakazozalishwa India ndani ya muda mfupi ujao jumla hiyo itazidi ile ya Japan.

Kwa kuwa India ina population kubwa by far kuliko Japan, ukichukua thamani ya uchumi wa India ukigawa kwa idadi ya watu (GDP per capita) similarly for Japan ya Japan is larger by far kuliko ya India na ndipo concept ya "kulala kwenye maboksi" India inapokuja.

To summarize, hali ya maisha ya mtu mmoja mmoja kwa Japan is by far better than that of India ila tukiitazama India kutokea nje bila kujali population yake tunaona uchumi mkubwa kuliko Japan. That's it.
Hali hiyo pia iko kwenye hii jamhuri ya Islamabad. Walio na ahueni ni wakazi wa Mbweni, Mbezi Beach, Masaki na Oysterbay na ndio ambao wanatumika kama reference ya hali nzuri.
 
Mfano China middle class wako milion 600 plus hii sasa watengee nchi yao uone.
Wabongo bana kwa kushindanisha nchi za wengine kiuchumi. Yani sisi wenyewe tu hata kunya hatunyi ipasavyo.
FB_IMG_1732288912576.jpg
 
Back
Top Bottom