Japani ilipitwa na China 2010 na kutoleqa nafasi ya pili, kumbuka Japani imekaa nafasi ya pili kwa miaka 40.
Sasa mwakani tena inatolewa nafasi ya 3 hivyo kuangukia nafasi ya 4 ambayo nayo huenda ikaja kuotelewa tena.
Ninacho kiona Japani ni kufuata mkumbo wa USA, mfano India kwa sasa anapata mafuta kwa bei chee sana kutoka Urusi, Ilihali Japani yeye akiwa ameungana na Marekani kuiweka Urusi vikwazo amnavyo vinaithori sana Japani.
View attachment 3160033
Kwani alisema mzaliane au fyatueni tu hela ipo?India ina idadi kubwa sana ya watu na birth rate yao inazid kuongezeka kila kukicha Ndio maana Magufuli(RIP) akasema mzaliane akiamini population ikiwa kubwa basi uchumi utakuwa mkubwa
Sina utaalam wa uchumi kimataifa, ila sidhani Japan kuna mtu analala kwenye mabox na madarakani kama India. Kuwa na uchumi no 2 duniani kutawaondoleaje wahindi ufukara uliopitiliza.Japani ilipitwa na China 2010 na kutoleqa nafasi ya pili, kumbuka Japani imekaa nafasi ya pili kwa miaka 40.
Sasa mwakani tena inatolewa nafasi ya 3 hivyo kuangukia nafasi ya 4 ambayo nayo huenda ikaja kuotelewa tena.
Ninacho kiona Japani ni kufuata mkumbo wa USA, mfano India kwa sasa anapata mafuta kwa bei chee sana kutoka Urusi, Ilihali Japani yeye akiwa ameungana na Marekani kuiweka Urusi vikwazo amnavyo vinaithori sana Japani.
View attachment 3160033
That's true,pia hawajataka kubadilika,hata mtu binafsi yafaa uende na wakati,mfano Nokia walitamba sana sokoni enzi hizo,lkn ilipokuja teknolojia mpya yakuslide kioo,wao wakaikataa kuiapply,wakajikuta wametupwa nje ya soko, Hadi wakatiweka kabisaa.Kipindi hiko India ikinunua kwa wingi kutoka Japan (na kwingineko) sasa haifanyi tena hivyo badala yake inazalisha yenyewe na kuuza nje. Export ikianza kuzidi import lazima uchumi ukue. That means kile kiasi ambacho Japan alikuwa anauza India (na kwingineko) kimepungua sana hivyo lazima uchumi wake usinyae.
Pili, purchasing power ya normal Indians imekuwa tofauti na miaka ya nyuma. Mnazalisha na kununua wenyewe na surplus Mna-export lazima uchumi uwe mkubwa plus population. Utaona India imeanza kuzidi Japan kwa aspects muhimu za kiuchumi.
Kinachojadiliwa hapa ni thamani ya uchumi wote wa India vs ule wa Japan aka GDP. Yaani jumla (grand total) ya thamani ya bidhaa na huduma zote zitakazozalishwa India ndani ya muda mfupi ujao jumla hiyo itazidi ile ya Japan.Sina utaalam wa uchumi kimataifa, ila sidhani Japan kuna mtu analala kwenye mabox na madarakani kama India. Kuwa na uchumi no 2 duniani kutawaondoleaje wahindi ufukara uliopitiliza.
Achana na nadharia za rebirth ktk uchumi.haitowezekana kwa akili hizi za kijinga ktk baadhi ya mambo ya uchumiHii ni kawaida katika cirle ya maisha.
Itafikia kipindi hata nchi za Kiafrika zitakuwa juu sana kiuchumi ikilinganishwa na nchi za Ulaya.
Dunia ipo katika movement/rotation hivyo aliye juu atakuja kushuka na aliye chini atapanda juu.
Kumbuka pia kuna 'reincarnation'
Absolutely right. Why? Because Japan's GDP per capita is better than that of India. Conversely, India's GDP is bigger than that of Japan. Mjadala huu umejikita kwenye GDP zaidi.Wote mnaosema india wako vizuri .........sasa mkipewa nafasi ya kwenda kuishi japan au india ..........wote mtachagua japan...........ndio mjue japan kutamu sana...........huko india wanalala mpaka barabarani wanakula vitu vichafu vichafu wako kama misukule yaani hawaeleweki.......hata kuabudu kwao ni kisanga maana kuna wengine wale sijui wa dini ya shetan wako uchi tu masaa 24 kazi kujipaka unga na kukaa pembezoni mwa bahari
Na idadi ya watu pia ina mataKipindi hiko India ikinunua kwa wingi kutoka Japan (na kwingineko) sasa haifanyi tena hivyo badala yake inazalisha yenyewe na kuuza nje. Export ikianza kuzidi import lazima uchumi ukue. That means kile kiasi ambacho Japan alikuwa anauza India (na kwingineko) kimepungua sana hivyo lazima uchumi wake usinyae.
Pili, purchasing power ya normal Indians imekuwa tofauti na miaka ya nyuma. Mnazalisha na kununua wenyewe na surplus Mna-export lazima uchumi uwe mkubwa plus population. Utaona India imeanza kuzidi Japan kwa aspects muhimu za kiuchumi.
Asante mkuu kwa kudadavua vyema. But kwangu hiyo GDP kubwa haina msaada ikiwa gawio hilo halimfikii mtu mmoja mmoja. Japo kupanda zaidi kwa uchumi wao huenda siku moja utashuka chini kwa walala hoi ikiwa wana sera za kugawana kipato, kwa kutoa ajira au mikopoKinachojadiliwa hapa ni thamani ya uchumi wote wa India vs ule wa Japan aka GDP. Yaani jumla (grand total) ya thamani ya bidhaa na huduma zote zitakazozalishwa India ndani ya muda mfupi ujao jumla hiyo itazidi ile ya Japan.
Kwa kuwa India ina population kubwa by far kuliko Japan, ukichukua thamani ya uchumi wa India ukigawa kwa idadi ya watu (GDP per capita) similarly for Japan ya Japan is larger by far kuliko ya India na ndipo concept ya "kulala kwenye maboksi" India inapokuja.
To summarize, hali ya maisha ya mtu mmoja mmoja kwa Japan is by far better than that of India ila tukiitazama India kutokea nje bila kujali population yake tunaona uchumi mkubwa kuliko Japan. That's it.
Hii waulize CCMJAPAN bado wako vizuri. Wakiwa wa nne bado si mbaya. Je vipi Tanzania ambayo hata uzalishaji wa mihogo tu ni shida. Tunazalisha machawa na hatuna pa kuwaexport. Tuna surplus ya machawa. Nadhani tuangalie namna ya kujikwamua sisi na si kuwashangaa waliofanikiwa au wanaofanikiwa.
Mbona miisilamu kwa makundi inafurika kukimbilia huko kama uchumi wake unapumulia. Mbona miisilamu haiendi huko china Saudia iran kwenye uchumi mzuri Miisilamu bana.Hii tabia ya kufuata mkumbo wa Marekani kumeiponza Ujerumani ,sasa hivi uchumi wa Ujerumani unapumlia mashine na unakaribia kuanguka.
Yaani viongozi wa Ujerumani ni wasenge sana yaani wanashauliwa na Marekani wasinunue gesi na mafuta ya Urusi yenye bei ndogo alafu yeye ana anawauzia gesi yenye bei kubwa mara 4 ya ile ya Urusi.
Huu usenge nchi nyingi ziliukataa,kuanzia Uturuki , Indonesia,India,China hata Italy ambaye ni kibaraka mwenzao aliukataa huo usenge.
Hao India au Cjina ndio sasa wanapamabana kuimprove hali za maisha ya raia wao, wana Project kubwa sana za kuinua hali za raia wao hasa india sema pia Pupulation yao sasa.Wote mnaosema india wako vizuri .........sasa mkipewa nafasi ya kwenda kuishi japan au india ..........wote mtachagua japan...........ndio mjue japan kutamu sana...........huko india wanalala mpaka barabarani wanakula vitu vichafu vichafu wako kama misukule yaani hawaeleweki.......hata kuabudu kwao ni kisanga maana kuna wengine wale sijui wa dini ya shetan wako uchi tu masaa 24 kazi kujipaka unga na kukaa pembezoni mwa bahari
Inabidi tuanze Export ya machawa maana tumefikia Surplus Level. Yani imefikia mtu akiamka asubuhi anaanza kwanza kumshukuru mama Samia😁JAPAN bado wako vizuri. Wakiwa wa nne bado si mbaya. Je vipi Tanzania ambayo hata uzalishaji wa mihogo tu ni shida. Tunazalisha machawa na hatuna pa kuwaexport. Tuna surplus ya machawa. Nadhani tuangalie namna ya kujikwamua sisi na si kuwashangaa waliofanikiwa au wanaofanikiwa.
Hali hiyo pia iko kwenye hii jamhuri ya Islamabad. Walio na ahueni ni wakazi wa Mbweni, Mbezi Beach, Masaki na Oysterbay na ndio ambao wanatumika kama reference ya hali nzuri.Kinachojadiliwa hapa ni thamani ya uchumi wote wa India vs ule wa Japan aka GDP. Yaani jumla (grand total) ya thamani ya bidhaa na huduma zote zitakazozalishwa India ndani ya muda mfupi ujao jumla hiyo itazidi ile ya Japan.
Kwa kuwa India ina population kubwa by far kuliko Japan, ukichukua thamani ya uchumi wa India ukigawa kwa idadi ya watu (GDP per capita) similarly for Japan ya Japan is larger by far kuliko ya India na ndipo concept ya "kulala kwenye maboksi" India inapokuja.
To summarize, hali ya maisha ya mtu mmoja mmoja kwa Japan is by far better than that of India ila tukiitazama India kutokea nje bila kujali population yake tunaona uchumi mkubwa kuliko Japan. That's it.
Wabongo bana kwa kushindanisha nchi za wengine kiuchumi. Yani sisi wenyewe tu hata kunya hatunyi ipasavyo.Mfano China middle class wako milion 600 plus hii sasa watengee nchi yao uone.