Nini kinaikumba Japan? Mwakani India inaipiku na kuwa Taifa la tatu lenye uchumi mkubwa Ulimwenguni

Nini kinaikumba Japan? Mwakani India inaipiku na kuwa Taifa la tatu lenye uchumi mkubwa Ulimwenguni

Haya masuala ya uchumi yako changamani sana.

Hivyo, ukubwa wa uchumi si nongwa kivile.

Cha muhimu kuangalia ni GDP per capita na standards of living.

Kwenye hizo categories India bado sana.
 
Back
Top Bottom