ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
- Thread starter
- #241
Mbavu sinaa🤣🤣Nilishindwa pia hapa,sababu ya ukosefu wa nauli ya ✈️
Mbavu sinaa🤣🤣Nilishindwa pia hapa,sababu ya ukosefu wa nauli ya ✈️
Muda wa wewe kuharibu umeshapita,yani umechelewa,una nichamba ice 😏 au nikuchome? nitamwambia ukweli kwamba mimi na wew ni wapenzi wa siri ohooooo😅😅 we endelea kunirusha roho uone kama sija haribu
Wazee wabaya sana, alaf ukute ni wamakamo tu 30'a alaf mnatumia Gia ya uzee kudaka watoto wakali humuMwambie sisi wazee tukikasirika tunaweza kumpa lazi kabisa 😜
1. Mavuzi yaliyozidiAngalizo kwa watakatifu sitaki mnifokee maana nina nyuzi kibao za maisha na za mijadala ya kijami siwaoni ila hapa mtaanza ooh unapenda ngono
Kwenye jukwaa la chit chat kuna uzi unaitwa JF diary nimeweka nyuzi zangu nyingiiii kama unavutiwa kusoma maandiko yangu ila hili hakikubariki tafadhari tembelea huo uzi na uchague uzi mmoja utakaokuvutia usome kila la kheri🙏🙏
Twende nalooo sasa 👇
Ni vitu gani vikifanyika au ukifanyiwa au ukiona kwa mpenzi wako ukiwa kwa bed vinakukata stim
Au ni vitu gani vikifanyika au ukifanyiwa au kuona kwa bebe wako mizuka inapandaa midadii inakua on yaan 🔥
Watu wengi huona au kufanyiwa vitu vinavyowakera na wanashindwa kusema kuogopa bebe atachukia au atajisikia vibaya
Maana mwingine akiambia badala achukulie positive ana panic na kususa juu
Na wewe ukiangalia upo in love unajikaza kisabuni huku unaungua moyoni huna raha wala fur aha
Ni nini kinakukata stim pale mjini 6*6
Nini kinakupa mizuka pale mjini 6*6
Una ujasiri wa kumwambia mpenzi wako
Kama kuna kitu hakikufurahishi?
Au ni kama samaki na maji mdomoni😜
NB: #Kulombana sio anasa
Lombana kwa faida kede kede zipatikanazo ndani ya tendo hilo
ShesRise_1 🤚
Viungo gani tena babu🤣🤣Naona sasa hivi jf hawana sensorship, viungo vinatajwa kama vilivyo😅😅
Gauni fupiiii af lina vifungo na kamba mbele pale kuna kuwa kama mpasuozenye muundo wa gauni au suruari na kibode
pokea Simu kwanza unitambie niiskie hii jeuri vizuri🤨😅Muda wa wewe kuharibu umeshapita,yani umechelewa,
Sasa hivi penzi letu linateleza tu kwa speed kama SGR.
Ile mbaya akiinama 🙌🙌🙌yani ni hatari🤣
Najua unajaribu kujifariji tu,😅😅😅 jisongee zako ka ugali na parachichi huyu ndugu yetu kazi haiwezi 🤣
SanaNdio mizuka inapandaa et
Ningekuwa kijana hapo sawa, ila umri huu hata hizo totoz zikisema zini-bless babu yao mbona nitapata aibuWazee wabaya sana, alaf ukute ni wamakamo tu 30'a alaf mnatumia Gia ya uzee kudaka watoto wakali humu
woooh unapenda uzungu sana mwanetu🔥😊Gauni fupiiii af lina vifungo na kamba mbele pale kuna kuwa kama mpasuo
Umeona mzee mwezanguWanasema hamu ni tamu kuliko tamu yenyewe.
Labda anataka upate pakushika 😆1. Mavuzi yaliyozidi
Huu mtihani woiii2. Harufu kali (iwe ya Jasho mwili ama uke)
Unataka awe kama nyoka et3. Mapambo kuzidi (cheni,shangazi, kikuku,Bangili,saa,hereni)
Uke mbovu upo je na mlisema tunafanana 🤣🤣🤣Kuna aina ya uke wenyewe ni mbovu hata kukiwa na miguno na ujuzi, ni kama una udanganya ubongo wako ili upate kukojoa tu hizo shahawa.
Mimi sizini nafanya mapenziACHA UZINZI
Sasa usiku akuna watoto una nivaliaje magauni ya kitenge au skinwoooh unapenda uzungu sana mwanetu🔥😊
si mchungaji kasema tujistiri jamni😅Sasa usiku akuna watoto una nivaliaje magauni ya kitenge au skin