T 1990 ELY
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 13,118
- 30,551
Mmepoa sasa
Heh ki vp sasaNi CCM tu
Kazi ni kipimo cha utu
🤣Mmepoa sasa
ni stori fupi sana for another day,Hehehe 🤣🤣🤣 ilikuta wapi hii mdau
Sijui nacheka nini Unaweka akiba ya maneno 🤣🤣🤣
Mda wa kupakua minyama 🐒
Ooh okni stori fupi sana for another day,
Pole kwa changamoto hiyo mdaubut,
mwanaume ambae haijawahi kukutana na changamoto hiyo bado hajazaliwa 🐒
Ila we ERoni.. umevua MaskSawa na mpira bila mashabiki? Yaani uwanja umefungiwa mashabiki hawaruhusiwi kuingia😅
Ni kama wanafanyaga makusudi..Madereva wa bajaji muache kutupapasa manyonyo kwa viwiko sisi abiria tunaokaa mbele, mkiwa mnabadili gia.......
Haya endelea ku kiss safari lager kwa shaniaSijawahi kiss wala kulamba chochote zaidi ya kupata safari lager hapa kwa shania,,
Sawa baba palokoMapenzi ya kwenye movie sihitaji mimi,, kifo cha mende na ni kutafuta watoto tuu...
Amina karibu shesHaya endelea ku kiss safari lager kwa shania
Sawa baba paloko
Hadi unashuka nyonyo ishaguswa sana.... madereva wa bajaji nyie shenzi nini?!!!Ni kama wanafanyaga makusudi..
Asantee kipenzi karibuu
AsanteeeAmina karibu shes
😅😅😅Hadi unashuka nyonyo ishaguswa sana.... madereva wa bajaji nyie shenzi nini?!!!
Akhsante kushukuruAsantee kipenzi karibuu
🙏🙏Akhsante kushukuru
Hapa jukwaani mkuuKaribu wapi
Hapa hadharani kuchangia madaMoyoni au hadharani mkuu?
Kuna muda unafanya hadi kuweka handbag imzuie.....anaishia kukwambia hiyo handbag weka huo upande mwingine..Hadi unashuka nyonyo ishaguswa sana.... madereva wa bajaji nyie shenzi nini?!!!