Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
Unampenda, unamuamini, unamkubali, unamjali na kumthamini n.k
Kiufupi mnapendana sana na mko pamoja kitambo sasa....
Ila kuna jambo moja tu linakukera, linakufedhahesha sana, linakusononesha sana lakini kwasabu ya mapenzi ya dhati kwake unavumilia, na kulichukulia poa tu...
Si unajua tena, hakuna alie mkamilifu chini ya jua...
Ni nini hasa, moja tu ambalo unaona ni kero kwa mwenzi wako umpendae🐒