Kwa nini usianze wewe mleta mada kueleza kinachokukera kutoka kwa mpenzi wako?Unampenda, unamuamini, unamkubali, unamjali na kumthamini n.k
Kiufupi mnapendana sana na mko pamoja kitambo sasa....
Ila kuna jambo moja tu linakukera, linakufedhahesha sana, linakusononesha sana lakini kwasabu ya mapenzi ya dhati kwake unavumilia, na kulichukulia poa tu...
Si unajua tena, hakuna alie mkamilifu chini ya jua...
Ni nini hasa, moja tu ambalo unaona ni kero kwa mwenzi wako umpendae🐒
Sisi ni wapenzi wa tazamaji acha tuone na hili litafikia wap?mada zingine zinatupita,,wacha tusome visa vya wenyewe
Kazi ni kipimo cha utu🔨Kwa nn usianze ww?
KAZI ni kipimo cha UTU
tunaweza jifunza mambo mapyaSisi ni wapenzi wa tazamaji acha tuone na hili litafikia wap?
Kabisatunaweza jifunza mambo mapya