Nini kinasababisha fuel consumption isiyo ya kawaida

Nini kinasababisha fuel consumption isiyo ya kawaida

Duh kwahio rush ndio hii ami kumb? Aisee hivi rush ina cc ngapi ile maana naona vinauzwa bei kinoma.
 
Duh kwahio rush ndio hii ami kumb? Aisee hivi rush ina cc ngapi ile maana naona vinauzwa bei kinoma.

yah mkuu hizo toyota RUSH ni second generation ya CAMI/TERIOS

na kwa sasa wameingia third generation imeanza kutengenezwa 2017 nahisi huku tutaanza kuiona terios 3rd gen/Rush 2nd gen baada ya miaka kadhaa hii ni balaa kidogo

ukubwa wa engine yake ni 1480 cc
zinatumia engine ya 3SZ-VE vvti
straight 4

bei kuwa kubwa ni sababu ya mwaka wa kutengenezwa bado mpya zile zimetengenezwa mwaka 2006-2016 sasa nying zinazokuja huku ni za mwaka 2008-2010

unaweza ukacheki hapa kuhusu generation ya CAMI/TERIOS

Daihatsu Terios - Wikipedia
 
Back
Top Bottom