yah mkuu hizo toyota RUSH ni second generation ya CAMI/TERIOS
na kwa sasa wameingia third generation imeanza kutengenezwa 2017 nahisi huku tutaanza kuiona terios 3rd gen/Rush 2nd gen baada ya miaka kadhaa hii ni balaa kidogo
ukubwa wa engine yake ni 1480 cc
zinatumia engine ya 3SZ-VE vvti
straight 4
bei kuwa kubwa ni sababu ya mwaka wa kutengenezwa bado mpya zile zimetengenezwa mwaka 2006-2016 sasa nying zinazokuja huku ni za mwaka 2008-2010
unaweza ukacheki hapa kuhusu generation ya CAMI/TERIOS