Nndu wa Selote
JF-Expert Member
- Jun 21, 2012
- 733
- 520
Dah!Umefanya nimecheka sana.Ngoja wataalam waje watatoa ushauri.Msaidieni kwa kumkumbusha hii ni Bongo Daslaaaam. Atalala pabaya watampenyeze naniliuuu.
Pole sana ndugu yangu. Watu wengine humu JF wanafanya mzaha na magonjwa ya watu. Huo sio ustaarabu.Kwa kifupi ugonjwa huo unaitwa Narcolepsy. Soma maelezo hapa chini yatakusaidia:Ni jamaa yangu wa karibu sana. NI mtu mwema na anaelewana na kila mtu. Tatizo lake kwamba ana tatizo la kusinzia sana. Akikaa mahali dakika chache anaishia usingizini. Akipanda basi baada ya dk 5 tu analala, akienda hata ofisini kwa mtu akiambiwa subiri kidogo tu analala. Akiwa ofisini kwake hawezi kukaa kwenye computer zaidi ya saa moja kabla hajalala usingizi mzito sana na mbaya zaidi akiendesha gari hata mchana anasinzia. Je wataalamu huu ni ugonjwa gani na tunamsaidiaje???
Hii kali duh comment ya kufungia mwaka...Hard to advise, crucial facts are missing ! Uzito? Kama sio overweight then he is not having enough sleep at night! Labda chumba kichafu, kelele, depression etc! In any case focus on only 2 factors: weight and night sleep!
Rafiki yangu wa kribu sana na tunafanya naye kazi ana tatizo kubwa sana la kusinzia hovyo. Hili tatizo limekuwa linamkosesha raha sana kwani akishapanda kwenye basi tu, say Mwenge kuelekea Posta basi ni vigumu kufika Victoria kabla hajalala, Akiwa ofisini akifanya kazi kidogo tu kwenye computer analala na hata jioni tukikaa baa anaweza kuanza kulala kabla hata hajamaliza bia moja. Hata wakati mwingine tunakwenda naye benki, akiambiwa asubiri kidogo kwenye kiti wakati transaction zinaendelea analala fofofo ! Je huu ni unaweza kuwa ugonjwa gani na nini tiba yake ?
je kinga ya kujizuia ugonjwa huo ipo? MziziMkavu
[FONT=arial !important][/FONT]
[FONT=arial !important]Sometimes intake of cayenne also helps. Cayenne can be taken with juice in the diet. It effectively helps to reduce narcolepsy. Not only cayenne but intake of calcium is also very necessary for treating narcolepsy. Intake of magnesium also helps to cure this disorder.Your daily diet should contain a total of 1000 milligrams of magnesium. If possible you can take magnesium twice a day but the dose should be 500 milligrams per meal.
Kula Pilipili kali kijiko 1 kidogo ndani ya chakula au unaweza kuchanganya na juisi na pilipili ukanywa pamoja. Na ule dawa ya Calcium au Magnesium pia inasaidia kutibu hayo matatizo ya kusinzia.
[/FONT]