Nndu wa Selote
JF-Expert Member
- Jun 21, 2012
- 733
- 520
Rafiki yangu wa kribu sana na tunafanya naye kazi ana tatizo kubwa sana la kusinzia hovyo. Hili tatizo limekuwa linamkosesha raha sana kwani akishapanda kwenye basi tu, say Mwenge kuelekea Posta basi ni vigumu kufika Victoria kabla hajalala.
Akiwa ofisini akifanya kazi kidogo tu kwenye computer analala na hata jioni tukikaa baa anaweza kuanza kulala kabla hata hajamaliza bia moja. Hata wakati mwingine tunakwenda naye benki, akiambiwa asubiri kidogo kwenye kiti wakati transaction zinaendelea analala fofofo !
Je huu ni unaweza kuwa ugonjwa gani na nini tiba yake ?