Nini kinasababisha Lady Jaydee atake kujiua?

Jay Dee stress zinamtafuna,ana kila kitu lakini hana mtoto
Akikumbuka alivyozichoropoa,lazima atamani kunywa sumu
 
Naona Wengi Wanaandika Komedi Tu Humt Na Cha Ajabu Mtoa Mada Nae Anasapoti Anaacha Kuwauliza Watu Majibu Ya Swali Lake
Acha kudharau mawazo ya wenzako...wewe ndio umeandika komedi...
 
Washauri ni wengi, mashabiki zako wote wakianza kucomment kukupa ushauri unapata faraja kwa muda mchache tu soon baada ya kushare.

Amani na faraja inapatikana kwa sababu una watu wengi nyuma yako wanaokupenda.
Ingekuwa ni hivyo basi Whitney Houston asingekuwa na mistress kiasi cha kutumia unga maana kama kupendwa alikuwa na mashabaki wengi kuliko hata Lady Jay D.
Hebu sikiliza wimbo wa TID unaitwa Castle Walls huenda utaelewa.
 
Nahisi msongo wa mawazo, ila yuko poa sana huyu dada
 
Hebu tupia namba yake hapa tumuulize maana yy ndio anajua sababu
 
Tatizo mswahili sana ukikutana nae hata salamu hapokei, nilikutana nae ppf tower pale katulia peke yake kwenye kochi nimemsalimia kauchuna ile mbaya akijifanya ana mawazo sana nikampakazia ndio kujifanya hajasikia. Ana kiburi flani hivi labda kwa ulegend wake lakini sio powa
 
Labda kuna ukweli...
Lakini sio wote wanaofikwa na majanga ...
 
Mtu anayejiamini hawezi kusema alitaka kujiua tena mtandaoni na si kwa wataalam wa Saikolojia!!Jide ni short tempered ni tatizo
Kuongea is moyoni tena lililopita haihitaji Mwana saikolojia!

Hajaomba msaada hapo .ni kaongelea ..past !
 
Labda kuna ukweli...
Lakini sio wote wanaofikwa na majanga ...
Ni kweli ila kizazi kinachofata kitalipa, mtu wa karibu kama mke/mume/hawara n.k pia mhusika atakwenda motoni. Tunaishi katika ulimwengu wa kubalance sema watu hawalielewi hili. Mostly mikosi inawaandama pasipo wao kujijua.
By the way mtafute MUNGU utayafahamu yote haya. Kiini cha matatizo yote hapa duniani ni dhambi.
 
Vipi na yule Rasta ameshindwa kumkuna vizuri ,nyie wanaume wa huko vipi?
Muondoleeni msongo wa mawazo huyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…