M24 Headquarters-Kigali JF-Expert Member Joined Jul 9, 2012 Posts 8,199 Reaction score 8,186 Nov 28, 2017 #21 1US$ = 18 Ethiopian Birr na bado njaa Kali hapo uhabeshi
Ziroseventytwo JF-Expert Member Joined Mar 27, 2011 Posts 8,581 Reaction score 15,618 Nov 28, 2017 Thread starter #22 blessings said: 1US$ = 18 Ethiopian Birr na bado njaa Kali hapo uhabeshi Click to expand... Kwanini hii shilingi yetu ibadilishwe kwa 2450-2500 kwa Us$ 1? Eti mpaka Zambi kwacha yao ni imara kuliko yetu. Miaka ya 2010 kwacha 1 ilikuwa kama 4500. Kuna tatizo kwenye wataalam wetu wa uchumi haswa kule BoT
blessings said: 1US$ = 18 Ethiopian Birr na bado njaa Kali hapo uhabeshi Click to expand... Kwanini hii shilingi yetu ibadilishwe kwa 2450-2500 kwa Us$ 1? Eti mpaka Zambi kwacha yao ni imara kuliko yetu. Miaka ya 2010 kwacha 1 ilikuwa kama 4500. Kuna tatizo kwenye wataalam wetu wa uchumi haswa kule BoT
fredymkanza JF-Expert Member Joined Jun 19, 2016 Posts 284 Reaction score 152 Nov 28, 2017 #23 Ngoja ingawa nikae vizuri ingawa hata kuelewa hili somo inataka Neema pia