Nini kinasababisha shilingi ya kenya kuwa na thamani kuliko Yen ya japan?

Nini kinasababisha shilingi ya kenya kuwa na thamani kuliko Yen ya japan?

1US$ = 18 Ethiopian Birr na bado njaa Kali hapo uhabeshi
Kwanini hii shilingi yetu ibadilishwe kwa 2450-2500 kwa Us$ 1? Eti mpaka Zambi kwacha yao ni imara kuliko yetu. Miaka ya 2010 kwacha 1 ilikuwa kama 4500.

Kuna tatizo kwenye wataalam wetu wa uchumi haswa kule BoT
 
Ngoja ingawa nikae vizuri ingawa hata kuelewa hili somo inataka Neema pia
 
Back
Top Bottom