Friedrich Nietzsche
JF-Expert Member
- Sep 22, 2022
- 2,095
- 3,649
Rejea kichwa cha habari
Kama ww unafuatilia mambo ya blog utatambua kuna kuibukia au mfumuko mkubwa wa blogging Tanzani!!
Lakini zote au asilimia 90 ni za matangazo ya kazi!!
Swali la kujiuliza Je sababu ni nini wa kuwa na mfanano wa blog??
-Kwamba za matangazo ya kazi ni rahisi uandishi ( copy and paste)
-Vijana hawana content za kupost kuvutia watazamaji
-Au zinalipa sana
Je kuna sababu gan haswa?
Nb: Ukichangia ni vizuri Nalenga kujifunza