Nini kinasababisha Usilipe Deni? ebu uwe mkweli

Nini kinasababisha Usilipe Deni? ebu uwe mkweli

Mke mahali hujalipa mkopo, nyumba ya mkopo,gari ya mkopo, kwenye simu sasa mikopo app kama 10,songesha,mpawa,nipigetafu, bodi HESLB mkopo kama wote kila mwezi unakatwa, vikundi mikopo yan ni mikopo unadaiwa kila kona kwa hali hii unategemea mtu alipe mkopo, ili kulipa anakopa sehemu B analipa sehemu A
 
Sijui Kuna binadamu wakoje Yani Wana Roho za Ajabu Mtu anakuja kukulilia shida ukimsaidia anakula kona Hapa Kuna Mtu namdai 70k Wengine wawili 20k Toka November mwaka Jana Hawajanilipa
Pole mkuu. Mkuu kazi ya kukopesha ni kazi ya bank ndio walipewa vibali na BOT. Mtu akija kwa gia ya kukopa muelekeze bank ilipo lakini akija kwa kuomba msaada basi saidia unapoweza.
 
Usipodaiwa atakukumbuka nani mkuu . Dunia ya Leo bila deni unaweza kaa siku nzima usipigiwe simu.
Hatulipi kwa wakati ili tukumbukane🫰
😂😂😂😂Jamaa yangu ndo alikua na kauli hui
kwaiyo raha yako kusumbuliwa
 
Sijui Kuna binadamu wakoje Yani Wana Roho za Ajabu Mtu anakuja kukulilia shida ukimsaidia anakula kona Hapa Kuna Mtu namdai 70k Wengine wawili 20k Toka November mwaka Jana Hawajanilipa
mi hata sielewi akilini mwa awa watu uwa wanawaza nn
 
Kuna hao wawili jana nimepeleka majina yao kwa mtalam awashughulikie kwanza maana niliona Wananipanda kichwani,.
Saizi naona bora nideal nao traditionally maana hadi mahakamani nliwapeleka lakini sioni dalili za kulipwa mwaka wa3 huu unaenda
 
Back
Top Bottom