sheremaya
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 3,334
- 7,651
Ndio akili inakua active pia unakua na adabu sio kila namba mpya unapokea pokea..😂😂😂😂Jamaa yangu ndo alikua na kauli hui
kwaiyo raha yako kusumbuliwa
Baada ya kusumbuana unalipa alafu unakopa tena hata kama hauna shida