Hypersonic WMD
JF-Expert Member
- Apr 11, 2024
- 1,337
- 1,876
Pole mkuu. Mkuu kazi ya kukopesha ni kazi ya bank ndio walipewa vibali na BOT. Mtu akija kwa gia ya kukopa muelekeze bank ilipo lakini akija kwa kuomba msaada basi saidia unapoweza.Sijui Kuna binadamu wakoje Yani Wana Roho za Ajabu Mtu anakuja kukulilia shida ukimsaidia anakula kona Hapa Kuna Mtu namdai 70k Wengine wawili 20k Toka November mwaka Jana Hawajanilipa
sababu ganSikulipi kwanini unikopeshe
aah kumbe ndo sababuSilipi deni maana nachojuaa mdaiwaa AFUNGWII 😀
ukikopa unalipa?Sipendi kudaiwa wala kukopesha. Kuliko nimkopeshe mtu kama ninayo hela nampa tu bila expectation ya kulipwa (yani natoa msaada sio mkopo).
😂😂😂😂Jamaa yangu ndo alikua na kauli huiUsipodaiwa atakukumbuka nani mkuu . Dunia ya Leo bila deni unaweza kaa siku nzima usipigiwe simu.
Hatulipi kwa wakati ili tukumbukane🫰
mi hata sielewi akilini mwa awa watu uwa wanawaza nnSijui Kuna binadamu wakoje Yani Wana Roho za Ajabu Mtu anakuja kukulilia shida ukimsaidia anakula kona Hapa Kuna Mtu namdai 70k Wengine wawili 20k Toka November mwaka Jana Hawajanilipa
Haraka sana.ukikopa unalipa?
sasa we huna tatizo nataka kujua akili ya wasiolipaHaraka sana.