Nini kinasababisha Usilipe Deni? ebu uwe mkweli

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Jamaa yangu ndo alikua na kauli hui
kwaiyo raha yako kusumbuliwa
Ndio akili inakua active pia unakua na adabu sio kila namba mpya unapokea pokea..
Baada ya kusumbuana unalipa alafu unakopa tena hata kama hauna shida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…